您搜索了: na bahati nzuri (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

na bahati nzuri

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

bahati nzuri

英语

good fuck

最后更新: 2020-03-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nitakie bahati nzuri

英语

wish me good

最后更新: 2021-06-04
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri au mbaya, siku za zoko hilo zinahesabika.

英语

fortunately or unfortunately, the market’s days are numbered.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri innocent, mkewe na watoto 5 wako salama na hawakuporwa.

英语

fortunately innocent, his wife and 5 kids are okay and they were not robbed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri, tayari kuna ufahamu wa umuhimu wa kuwatunza tembo katika nchi hii.

英语

fortunately, there is a growing awareness about the need to protect the elephants in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri ‘wabaguzi’ hawaungwi mkono na vyama vikuu vya siasa vya australia.

英语

fortunately 'bigots' do not have the support of the mainstream australian political parties.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ghina alikuwa na bahati, tofauti na mama yake, ambaye bahati haikuwa kwake.

英语

ghina was lucky, but her mother wasn't.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri, teknolojia ya jukwaa litakalotumika, linaloitwa ibm jam, tayari limekwishafanyiwa majaribio katika matukio yaliyopita.

英语

fortunately, the forum technology that will be used, ibm jam, has been already been tested in previous events.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri, yamekuwepo makundi kama vile eiler yanayoendesha kampeni ya kukemea aina mbalimbali za utumikishwaji wa watoto nchini philippenes.

英语

fortunately, there are groups like eiler which are campaigning for the elimination of the worst forms of child labor in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kaka yangu alikuwa na bahati, pia, ukiachilia mbali ukweli kuwa majeraha yake yalikuwa yanatisha kuliko yangu.

英语

my brother was lucky, too, despite the fact that his wounds were more serious than mine.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama jamii, watamil, wale walio na bahati mbaya ya kubaki, wamerudi nyuma miaka kumi au ishirini.

英语

as a community tamils, at least the unfortunate ones to still remain, have moved ten or twenty years backward.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

namna pekee ya kukabiliana na bahati mbaya hii ni kufanya kazi kwa pamoja, kukabiliana na ebola, ambao ndio adui yetu wa kweli.

英语

the only way out of this unfortunate situation will be to work together, to combat ebola, which is our true enemy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri, hali ya hewa ilikuwa murua alasiri ya aprili 18, wanafunzi walipoanza kujikusanya kwenye moja wapo ya malango ya kuingilia bustani ya chaoyang ili kuwakumbuka marehemu wa shambulizi hilo la garissa.

英语

fortunately, the weather was good on april 18 in the late afternoon, as the students started to gather at one entrance of chaoyang park to commemorate the victims.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.

英语

i sometimes notice ms b performing strange rituals at home to ward off bad luck, and she has even cost us a lot of money in re-positioning our front and back doors, in order to capture good luck in our home through good feng shui.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni kwamba tu ilikuwa nafasi yangu wakati huu, na mimi nilikuwa na bahati kwamba polisi walidhani kwamba teke moja lilitosha - kwa sababu kwa kawaida hayaishi baada ya pigo moja.

英语

it was just my turn this time, and i was lucky that the policemen thought that one kick was enough — because usually it doesn't end after one blow.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini hakuna linaloweza kusaidia dhidi ya kanuni za newton wakati dazeni za tani za vyuma zinaposimama mara moja wakati zikiwa katika mwendo wa kasi – ni bahati tu… kwa hiyo nilikuwa na bahati tu.

英语

but nothing can help against the newton's laws when dozens of tons of metal suddenly stop at high speed - just luck ... ...therefore i was just lucky.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa bahati nzuri, baadhi yao taarifa zao zilishakusanywa na watumiaji wa mtandao wa intaneti na hivyo kutumia tovuti kuuonesha ulimwengu “kumbukumbu nzuri ya usawa wa haki za binadamu usio na chembe ya doa” na “madai ya uongo” yanayosemwa na serikali.

英语

luckily, some of them have been documented by netizens and found their way to the world wide web, showing the world "impeccable human rights record" and "false allegations" the government is talking about.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

leo, najisikia furaha sana na bahati ya kushiriki kwamba mama yangu smt. heeraba anaingia mwaka wake wa mia moja. huu utakuwa ni mwaka wake wa kuzaliwa wa karne. ikiwa baba yangu angekuwa hai, yeye pia angesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 wiki iliyopita. 2022 ni mwaka maalum kama mwaka wa centenary wa mama yangu unaanza, na baba yangu angemaliza yake.

英语

today, i feel extremely happy and fortunate to share that my mother smt. heeraba is entering her hundredth year. this is going to be her birth centenary year. if my father had been alive, he too would have celebrated his 100th birthday last week. 2022 is a special year as my mother’s centenary year is starting, and my father would have completed his.

最后更新: 2022-06-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,794,110,634 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認