您搜索了: niko kwa gari (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

niko kwa gari

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kufikia 19 machi vipimo vya kupitia kwa gari zilifanywa katika miji kadhaa kubwa.

英语

as of 19 march drive in tests were offered in several large cities.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya hapo walilazimishwa kusafiri kwa gari la polisi na kutelekezwa jangwani baada ya usiku wa manane.

英语

they were then forced to ride a police car and thrown in the desert sometime after midnight.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulipokuwa tukisafiri kwa gari kutoka katikati ya mji kwenda katika moja ya makanisa ambapo mtu unaweza kuona mafuvu na mali za watutsi waliouwawa, tuliwapita wafanyakazi fulani waliokuwa wakichimba mitaro kandokando ya barabara maalumu kwa ajili ya kutandaza nyaya za mawasiliano ya intaneti.

英语

as we drove out of town to one of the churches where you can still see the skulls and belongings of murdered tutsi, we passed by workers digging up ditches on the side of the road to lay down new fiber optic lines.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

russell zimmerman, mkurugenzi mtendaji wa shirika la wauzaji rejareja nchini australia, alisema kwamba wauzaji rejareja wajaribu kuongeza bidhaa, lakini vizuizi vya baraza la mitaa kuhusu wakati wa kuwasilisha bidhaa kwa gari vililemaza rai yake.

英语

russell zimmerman, executive director of the australian retailers association, said that retailers try to raise stock, but local council restrictions on the timing of truck-deliveries make it hard.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilikwenda sokoni jumamosi. nilikwenda sokoni kwa masaa manne. nilikuwepo kwa masaa manne kwa sababu mimi hua duka na kuongea na marafiki wengine. nilisafiri kwa gari. kuendesha gari sio mbali. ni kama saa moja mbali na ninakoishi. nilikuwa na dada zangu wawili. ninaendesha, na wakati mwingine dada yangu mwingine huendesha. tunapoenda sokoni, tunahakikisha kuleta chakula kizuri na sisi. pamoja na maji. halafu tunapomaliza sokoni, tunakuja nyumbani na kupika chakula na vitu ambavyo tumenunua tu.

英语

i went to the market on a saturday. i went to the market for 4 hours. i was there for four hours because i shop and talk with some of my friends. i travelled by car. the drive is not that far. it is about an hour away from where i live. i was with two of my sisters. i drive, and sometimes my other sister drives. when we go to the market, we make sure to bring healthy food with us. along with water. then when we are done at the market, we come home and cook food with the stuff we just bought.

最后更新: 2020-03-04
使用频率: 2
质量:

参考: 匿名

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,780,858,124 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認