您搜索了: nilitembelea kiwanda ili kupata taarifa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

nilitembelea kiwanda ili kupata taarifa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kupata taarifa haraka

英语

get well fast

最后更新: 2021-05-16
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

unaweza kupata taarifa muhimu kwa kuwafuatilia tunayoyafanya kwenye mtandao wa twita

英语

you can keep abreast of all the necessary information by following our activities on twitter.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ukurasa wa facebook ulianzishwa ili watu ambao wanaotaka kuwalinda chui nchini taiwan waweza kupata taarifa vizuri na kuhamasishwa.

英语

a facebook page was set up so people who want to protect the leopard cats in taiwan can be well informed and mobilized.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ili kupata habari kama zinavyotukia, angalia ukurasa huu wa delicious.

英语

for developing news on this event, check this delicious feed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kupata taarifa sahihi kuhusu wanablogu na waandishi wa mitandaoni waliokamatwa ni jambo gumu kwa sababu mbalimbali.

英语

finding accurate information about arrested and threatened bloggers and online writers is difficult for several reasons.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakifadhaishwa, baadhi ya ndugu zake walianguka chini mara baada ya kupata taarifa za kuuawa kwa rubani moaz kasabeh.

英语

devastated, some relatives fell on the floor after being informed of the execution of pilot moaz kasabeh.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hebu tafakari kuhusu tembo waliokufa ili kupata shehena ya tani 25 ya pembe za ndovu.

英语

think about the elephants that died to create that 25 tonne pile of tusks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

watu wa malawi wamekuwa wakipanga foleni kwa masaa mengi ili kupata mafuta tangu tangu mwaka 2010.

英语

malawians have been queuing up for hours for fuel since 2010.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hapa tena, tunaweza kutumia lensi za mtoto huyu ili kupata kumwelewa vema zaidi bibi suu kyi kama mama:

英语

again, looking through the lens of her child, we might be able to better understand ms suu kyi as a mother:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, wapo watawala wa afrika waliofanikiwa kubadili katiba zao ili kupata angalau muhula mwingine wa kugombea.

英语

other african incumbents managed to change the constitution so that they could have at least one additional term.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

angalia mapitio ya kimaeneo kwa mwaka 2011 yaliyofanywa na wahariri na waandishi ili kupata taswira ya haraka ya kile ambacho huenda ulikikosa.

英语

see the 2011 regional reviews by our editors and authors for a glance of what you may have missed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku nyingine, mtoto wa rais bakiev, maxim alifungua livejournal ili kupata sehemu ya kusemea maoni yanayoiunga mkono serikali.

英语

on the other day, son of president bakiev, maxim opened a livejournal account to express the pro-government point of view.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kila wanapoyahitaji, basi hawana budi kutumia mpira ili kupata maji kutoka nyumbani kwangu na mwisho wa mwezi basi tunagawana gharama kadiri ya ankra.

英语

whenever they need, they use a hose to collect water from my house and at end of the month we divide the cost of water invoice to pay.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tofauti kubwa ni kuwa mishahara nchini angola inachekesha ikilinganishwa nay a wenzao wa ulaya, jambo ambalo linapelekea mapambnano ya kila siku ili kupata mahitaji ya msingi.

英语

the main difference is that the salaries in angola are simply laughable when compared to their european counterparts, which leads to daily battles to secure basic needs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa kutumia kigezo kuwa maombi ya kupata taarifa ndio sababu kubwa ya kuchelewesha malipo, waandamanaji wana lengo la kuonesha mapungufu ya utaratibu huu wa wizara ambao wengi wanaamini kuwa urasimu huu ni visingizio na kanuni zisizo na maana yoyote.

英语

by submitting requests for access to information as to the reasons for the delay in payments, protesters aim to show the bureaucratic inefficiency of the ministry under what many say is an absurd pretext and absurd regulations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kila mfanyakazi aliyeajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja, atawasilisha wizarani maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) na kisha kujiunga na wengine watakaokuwa wamekusanyika mbele ya jengo la wizara.

英语

each freelancer will submit a foi request to the ministry and then join the rest who will stand in front of the ministry.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

madai yaliyotolewa kwa mujibu wa jarida la kiingereza la daily express, ni kwamba alipata ujauzito kwa kupandikiziwa mbegu za kiume ‘ili kupata hukumu nyepesi zaidi”

英语

the claims made according to the daily express, a british newspaper, are that she got artificially inseminated "to secure a more lenient term".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule ya sekondari itafanyika katika duru moja badala ya mbili na kuingia katika shule ya sekondari zitafanyiwa mtihani wa mwisho badala ya kupita daraja mwishoni mwa mwaka wa mwisho wa katikati ya shule ya sekondari.

英语

in the proposed reform, the final exam to obtain the high school diploma will be done in one round instead of two and the entry into high school will be subjected to a final exam instead of a passing grade at the end of the final year of middle high school.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@acarvin: video ya kusikitisha inaonyeshwa kwenye kituo cha al jazeera hivi sasa -ikiwaanesha jamaa kadhaa wakirusha mawe, kila mmoja akimwulika kwa toshi ya kijani ili kupata shabaha kwa wapinzani wao

英语

@acarvin: surreal footage on aje now - over a dozen guys throwing rocks, each lit up by a green laser to be target by opposing side

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.

英语

those who try to return to their ancestral lands find that the government has already leased their lands to foreign investors who are hurriedly bulldozing forests, farms, and wetlands in order to grow commercial crops of agro fuels, tea, spices, rice, and sugar cane, mostly for export.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
8,033,343,204 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認