您搜索了: nusu ya shillingi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

nusu ya shillingi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

zaidi ya nusu ya watamil wamehama moja kwa moja.

英语

more than half of the tamil population has already left for good. thousands of tamil families had to live with eternal grief of losing one or more family members.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na tayari tupo nusu ya safari kufikia malengo hayo!

英语

and we are already half-way through!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

karibu nusu ya idadi hiyo wanaishi katika jiji la dhaka peke yake.

英语

almost half of these children live in dhaka city alone.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

karibu nusu ya wasichana hawa wana kipato cha kujikimu tu kipatacho kama tk.

英语

almost half of these girls have a measly daily income of tk.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

walianzisha nusu ya maeneo ya urithi wa kairo ikiwa ni pamoja na al azhar.

英语

they established half its heritage sites including al azhar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hili linaweza kusumbua sana hasa kwa sababu nusu ya idadi ya watu liberia ni wenye umri chini ya miaka 20.

英语

this can be especially troubling because half of liberia’s population is under 20.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chama kinachotawala nchini humo, democratic congress cha waziri mkuu pakalitha mosisili kilishinda kwa asilimia kubwa ya kura lakini kikishindwa kuvuka nusu ya kura.

英语

the ruling democratic congress of prime minister pakalitha mosisili won most votes but fell short of the required majority.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, nusu ya wale ambao mimi niliwaalika kwa ajili ya iftar mwaka jana wako jela, uhamishoni au ni watuhumiwa wa makosa ya jinai)

英语

anyway, half of those who i invited for iftar last year are either in jail, in exile or are on the run :)

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana. hayo ni kwa yule miongoni mwenu anaye ogopa kuingia katika zina.

英语

and after they have been taken in wedlock, if they commit illegal sexual intercourse, their punishment is half that for free (unmarried) women.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maisha nusu ya rhace2 kwa binadamu ni saa 10 na itaanza kufanya kazi baada ya dakika 30 pamoja na sababu ya matokeo (muda) saa 24.

英语

the half-life of rhace2 in human beings is about 10 hours and the onset of action is 30 minutes in addition to the course of effect (duration) of 24 hours.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@iyad_elbaghdadi: nusu ya yaliyoandikwa kwenye ukurasa wangu inasema obama hafai, na nusu nyingi inasema romney hafai.

英语

@iyad_elbaghdadi: half my timeline says #obama sucks, and the other half says #romney sucks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika nchi hii watu wanakufa kwa njaa, wanakufa kwa kuteswa, wanakufa tu kwa sababu hawana hata nusu ya mahitaji ya misingi kwa ajili ya kuishi na hawana huduma za matibabu, acha ile tu kujua kama wanahitaji...

英语

in this country people die of hunger, they die of torture, they simply die because they don’t have half the basic humane standards of living and medical attention, let alone awareness…

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari yao kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana.

英语

so marry them with their masters’ permission, and give them their dowries in an honourable manner—[such of them] as are chaste women, not licentious ones or those who take paramours.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

changia vitabu ili kusaidia elimu ya watoto wa syria kupitia tovuti ya kujitolea: vitabu kwa ajili ya syria(books4syria) changia kupitia safeworld ili kuisaidia shule iliyoko katika kambi ya wakimbizi ya zaatari inayojulikana kama “kambi ya watoto” kwa kuwa takribani nusu ya wakazi ambao idadi yao ni 33,000, ni chini ya miaka 18.

英语

give books to help the education of syrian children through just giving website: books4syria donate to safeworld to give the support to the school in the zaatari refugee camp known as the "children's camp" because nearly half its 33,000 residents are under the age of 18.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
8,038,711,862 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認