您搜索了: nyenzo imeundwa kwa ufanisi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

nyenzo imeundwa kwa ufanisi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

imeundwa kwa jina la vaileth

英语

asili na maana ya jina la vaileth

最后更新: 2024-02-01
使用频率: 5
质量:

斯瓦希里语

kazi zimefanyika kwa ufanisi mkubwa in english

英语

this week has been a big success in english.

最后更新: 2024-03-28
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ili hii ifanye kazi kwa ufanisi, ufuatiliaji na tathmini ni muhimu.

英语

for this to work effectively, monitoring and evaluation are necessary.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tanataka kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, na kutenda kwa nguvu zaidi.

英语

we seek to work together more effectively, and act more powerfully.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inaonekana zoezi hilo linaendelea kwa ufanisi -kama tunategemea kupata habari kupitia vyombo vya habari pekee.

英语

it seems like the operation is actively under way - if we only look at the media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama mchango wangu kwa taifa langu katika kufanikisha hukumu ya kifo kwa ufanisi, ninatumaini kuwa kifaa hiki kitawavutia maafisa.

英语

as a contribution from me in competently implementing the execution sentences, i hope that this device interests the officials.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hivyo, hata kama aina zisizo kufa hazijatolewa kwa sabuni dhidi ya bakteria, huenda zisifanye kazi kwa ufanisi kama zinavyotangazwa.

英语

so, even if antibiotic resistant strains aren't selected for by antibacterial soaps, they might not be as effective as they are marketed to be.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bila kufahamu majibu ya maswali ya #1 na 2, hatuwezi kukatisha usambazaji kwa ufanisi na mkurupuko huu unaweza kutokea tena wakati wowote.

英语

without knowing answers to #1 and 2, we cannot efficiently cut the transmission, and the outbreak can relapse at any time.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kijumla, virusi hivi vya hcov vikishapata uwezo wa kusambaza kwa ufanisi na kuendelea kujidumisha ndani ya binadamu, pia uwezo wao wa virusi au wa kipathogenetiki unapungua.

英语

generally, when these hcovs acquire the abilities to transmit efficiently and to maintain themselves continuously within humans, they also become less virulent or pathogenic.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ibara ya 19 "inabaisha wasiwasi uliopo kwamba hatua zilizopo zimetengenezwa kuhakikisha kuwa uwazi wa serikali hautekelezeki kwa ufanisi" shirika hilo lilisema.

英语

article 19 "notes concern that existing measures designed to ensure government transparency are not being effectively implemented" the organization said.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

pengine ni jambo linalostahili kutajwa kwamba huenda mgomo huu ni wa kwanza wa aina yake unaotumia kwa ufanisi na vizuri zaidi njia za kisasa za upashanaji habari ili kuvuta usikivu na uungwaji mkono, kuanzia na twita inayoendelea mpaka mmiminiko wa habari wa hapo kwa hapo.

英语

it is worth mentioning that this strike may be the first instance in which strikers use new media efficiently and effectively to draw all the attention needed to support their cause, from continuous twitter updates to live streaming.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mikakati ya chanjo imeundwa kwa ajili ya mers kwa kutumia virusi vilivyolemazwa, plasmidi za dna, mikondo ya virusi, chembechembe ndogo, chembechembe zinazofanana na virusi na vitengo vidogo vya protini vilivyounganishwa tena na zingine vimetathminiwa katika miundo ya wanyama.

英语

vaccination strategies have been developed for mers by using inactivated virus, dna plasmids, viral vectors, nanoparticles, virus-like particles and recombinant protein subunits and some have been evaluated in animal models.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mojawapo ya vipimo vitatu vya kijenetiki katika matoleo ya awali ya vifurushi vya upimaji kilisababisha mtokeo yasiyo makilifu kutokana vyombo viovu vya kupimia, na uchangamano wa upimaji katika kituo cha cdc kule atlanta; hii ilisababisha idadi ya wastani ya chini ya sampuli 100 kupimwa kwa ufanisi katika kipindi kizima cha mwezi februari 2020.

英语

one of three genetic tests in older versions of the test kits caused inconclusive results due to faulty reagents, and a bottleneck of testing at the cdc in atlanta; this resulted in an average of fewer than 100 samples a day being successfully processed throughout the whole of february 2020.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pamoja na kuzalishwa katika njia ya chini ya kupumua, sars-cov-2 inaweza kuzalishwa katika sehemu ya juu ya njia ya kupumua kwa ufanisi na kusababisha dalili za wastani au kutoonyesha dalili zozote katika awamu ya awali ya maambukizi, sawa na virusi vingine vya cov vinavyosababisha homa kali.

英语

in addition to replicating in the lower respiratory tract, sars-cov-2 can efficiently replicate in the upper respiratory tract and causes mild or no symptoms in the early phase of infection, similar to other covs that cause common colds.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

imeripotiwa kwamba sars-cov-2 huathirika pakubwa na miale ya utraviolet na nyuzi joto ya 56 °c kwa dakika 30; ether, 75% ya ethanol, kisafishaji kilicho na klorini, asidi ya peracetic, chloroform na vimumunyisho vingine vya mafuta, lakini sio chlorhexidine, vinaweza kulemaza virusi hivi kwa ufanisi.

英语

it has been reported that sars-cov-2 is sensitive to ultraviolet rays and heat at 56 °c for 30 minutes; ether, 75% ethanol, chlorine-containing disinfectant, peracetic acid, chloroform, and other fatty solvents, but not chlorhexidine, can effectively inactivate the virus.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,781,598,835 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認