您搜索了: o kwa miezi kazaa au vp (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

o kwa miezi kazaa au vp

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

alihamishwa kwenye kwenye kitengo cha mahojiano namba 248 na hakuruhusiwa kuonana na watu kwa miezi tisa.

英语

he was then transferred to the interrogation division branch 248 and detained incommunicado for nine months.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwaka 2011, aliwekwa ndani kwa miezi miwili, akijikuta akikosa kuzaliwa kwa mwanae wa kwanza.

英语

in 2011, he spent two months in prison, missing the birth of his first child.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makadirio ya matumaini zaidi ni kwamba mkurupuko huu utakakwisha kufikia machi na awamu ya athari zake kwake itadumu kwa miezi 3-4.

英语

the most optimistic estimate is that the outbreak will end by march and the downswing phase will last for 3-4 months.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa upande mwingine, amekuwa akichunguza kifo cha nikola mladenov, mchapishaji na mhariri wa kampuni huru ya habari, kwa miezi miwili iliyopita.

英语

on the other hand, he has been investigating the death of nikola mladenov, publisher and editor of an independent media outlet, for the past two months.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kubainisha mambo machache ambayo tanzania ingeweza kufanya vizuri zaidi, david mugo aliyeishi tanzania kwa miezi 18, alimalizia makala yake kwa kusema:

英语

after pointing out a few things that tanzania could do better, david mugo who lived in tanzania for 18 months, finishes his post by saying:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi karibuni nimehama kutoka mji mmoja kwenda mwingine na mara nyingi nimekuwa sipati huduma ya intaneti kwa miezi 3 iliyopita, na vilevile kutengana na mwenzi wangu wa kimaisha kwa zaidi ya mwaka.

英语

i recently moved cities and have been largely without the internet for the past 3 months as well as splitting up with my partner of over a year.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

familia nyingine hutoa nyama yote kwa wale wenye uhitaji, wakati wengine (kama famialia yangu ya kufikia) hula mpaka kiungo cha mwisho, na hubaki na nyama itakayowatosha kwa miezi miwili au zaidi.

英语

some families give all the meat to those in need, while some (like my host family) eat every last organ, and have enough meat to last them for 2 or more months.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takribani mwezi mmoja baadae, wa-zambia hawakuwa wanajua lolote kuhusu ikiwa rais wao, ambaye kwa miezi iliyopita alionekana kuwa mdhaifu, alikuwa amerudi ama la.

英语

nearly a month later, zambians were in the dark if their president, who had in previous months appeared unwell, was back in the country or not.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yeye na waziri napolitano pia walionyesha huruma kwa kusogeza mbele uondoshwaji kwa nguvu wa raia wa haiti kutoka nchini marekani kwa miezi kumi na nane baada ya kuwapa tps raia wanaoishi nchini humo hivi sasa; kuwatupilia mbali baadhi ya watu katika kipindi hiki halitakuwa jambo lenye msaada, sana sana litakuwa na mwisho mbaya.

英语

he and secretary napolitano also showed compassion in suspending deportations to haiti for eighteen months by granting tps (temporary protected status) to haitians currently in the united states; dumping a bunch more people into the current scene of devastation would be unhelpful at best and disastrous at worst.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kuachiwa kwangu huru, nilitamani: kwamba kila mfanyakazi wa siku za usoni wa , ofisi ya mwendesha mashtaka, mahakama au taasisi yoyote inayohusina na kuweka watu rumande, basi "waonje" hata kwa miezi michache maisha ya kwenye taasisi hiyo kabla .

英语

upon my release i wished for this: that every future employee of the , prosecutor's office, court or any other entity that locks people up, had an "internship" for at least a few months at this facility prior to .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,793,536,191 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認