您搜索了: propaganda (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

propaganda

英语

propaganda

最后更新: 2015-05-21
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

makala hii imejaa maoni yaliyozoeleka na ni propaganda za wapinga ukomunisti.

英语

this post is filled with cliches and anti-communist propaganda.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kataa kusambaza picha zozote za #muathalkaseasbeh zinazotokana na propaganda za isis.

英语

don't share the #isis photos allegedly showing the burning of moaz kasasbeh.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

syria: propaganda ya vyombo vya habari vya serikali kuhusu maandamano ya tunisia na misri

英语

syria: state media propaganda in regards to tunisia and egypt · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

vgtrk ambayo ni makzi ya dmitri kiselyov, anayefahamanika kwa jina la utani mkuu wa propaganda wa kremlin.

英语

vgtrk is the home of dmitri kiselyov, who is known informally as the kremlin’s chief propagandist.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mwanablogu huyo alipiga kele akisema “je mnabeba propaganda za kampeni ndani ya gari la ukumbi wa jiji?

英语

the blogger shouts “are you carrying electoral propaganda in the car of the city hall?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mwanablogu huyo alimnukuu nasrallah akisema kwamba kinyume na propaganda zote, “irani inawasaidia wanaokandamizwa”.

英语

the blogger quotes nasrallah saying that contrary to all propaganda, "iran is helping the oppressed".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

dhana ya uraia unaweza kuwa na maana zaidi ya kuwa na uhuru wa kufikiri na kuunda mawazo ambayo yanatofautiana na propaganda za serikali ya china.

英语

a sense of citizenship may mean more than thinking independently and forming opinions that differ from the propaganda of the chinese government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mwaka 2010 mtandao wa facebook ulizuiwa kwa muda kufuatia mashitaka ya propaganda chafu dhidi ya waziri mkuu zilizodaiwa kusababisha usumbufu wa hisia za kidini kwa watu.

英语

in 2010, facebook was temporarily blocked for sometime on charges of malicious propaganda against the prime minister and hurting religious feelings.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

vyombo rasmi vya habari nchini urusi na ukraine vinachochea misuguano, wakati waandishi na wanaharakati wa mtandaoni wanatumia mtandao wa intaneti kupambana dhidi ya upotoshaji wa taarifa na propaganda.

英语

official media in both russia and ukraine is fueling disagreements, while journalists and digital activists are making use of the web to fight back against misinformation and propaganda.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

akiwa mmoja wapo wa waandishi bora kabisa nchini yemeni, samia al-agbhari anashambuliwa mno na propaganda za vyombo vya habari na kumtishia kufuatia msimamo wake wa kishujaa.

英语

one of the best female writers in yemen, samia al-agbhari is facing a media propaganda attack and threatened for her brave stance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

anapendekeza vyanzo mbadala vya mtandaoni kwa minajili ya kuchunguza taarifa, ikiwa ni pamoja na elperiodistacivico.com, wakati huu ambao kuna upotoshwaji wa taarifa na propaganda zinawakwamisha wale wanaojaribu kuelewa hali halisi ya matukio yanayoendelea.

英语

she recommends alternative online news sources that focus on fact-checking, including elperiodistacivico.com, at a moment when disinformation and propaganda is confounding those trying to make sense of events.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

televisheni ya taifa ya jordan ilitaarifu kuwa, al-kaseasbeh inadhaniwa kuwa aliuawa tarehe 3 januari, lakini kwa namna video hii inavyoonekana, imewashitua wengi ambao hawakutaka propaganda za isis kurejesha kumbukumbu yake.

英语

jordan state tv reported that al-kaseasbeh was allegedly killed on january 3, but the nature of today's video was a shock to many, who refused to let isis propaganda cast a shadow on his memory.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

derakshan anashitakiwa kwa "kushirikiana na dola adui, kupiga propaganda dhidi ya utawala wa kiislamu, kudhihaki utakatifu wa kidini, na kuandaa propaganda kwa ajili ya vikundi vinavyopinga mapinduzi."

英语

derakhshan has been accused of “collaborating with enemy states, creating propaganda against the islamic regime, insulting religious sanctity, and creating propaganda for anti-revolutionary groups.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

(...) kuna nafasi ambayo mpaka sasa haijatumiwa ipasavyo na vyama vya siasa nchini msumbiji, iwe ni kwa ajili ya kueneza propaganda za kisiasa au kufanya kampeni za uchaguzi: nalo ni mtandao wa intaneti.

英语

(...) there is a space that until now has been little explored by the national political forces, be it for political propaganda or electoral campaigns: the internet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
7,748,004,158 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認