您搜索了: ratiba ya kuwasha (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ratiba ya kuwasha

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ratiba ya chakula cha nyumbani

英语

home meal schedule

最后更新: 2023-10-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ratiba ya kurudisha shukrani kwa kupewa pole

英语

最后更新: 2021-06-18
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na jonathan moremi alitwiti ratiba ya kifo cha mubarak:

英语

and jonathan moremi once tweeted a schedule for mubarak's death:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

waandishi wa habari na wazee walikuwa shabaha ya maji ya kuwasha ya polisi:

英语

journalists and the elderly became the target of the police's pepper spray:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini ratiba ya uchaguzi huo imesogezwa mbele kwa juma moja zaidi kwa sababu ya matatizo ya kiuratibu.

英语

but all scheduled elections have been pushed back for a week because of organizational problems.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

debolina raja gupta anaorodhesha ratiba ya mada zilizoangazwa kwenye kipindi cha satyamev jayate kufikia tarehe 10 ,juni, 2012:

英语

debolina raja gupta posts a list of the topics featured in satyamev jayate till 10 june, 2012:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kanisa katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo limeunga mkono madai ya upinzani ya kusimamisha shughuli yoyote ya kupitia upya ratiba ya uchaguzi.

英语

the very influential catholic church has backed the opposition request to forego any revision to the planned electoral calendar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maneno haya yanatokana na udhalilishaji wa polisi wa unyunyizaji wa maji ya kuwasha pamoja na nguo zilizolowanishwa kwa siki au leso ambazo waandamanaji walizitumia kuzuia wasiathiriwe na matumizi ya vitu hivyo.

英语

the words refer to the police's indiscriminate use of pepper spray and the vinegar-soaked cloth or bandanas that some protesters wear to counter the effects.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa kusaini na kurudi ratiba ya bei hii, tunakubaliana kutoa tanesco vitu vilivyotajwa hapo viwango vya quote. tunakubaliana kwamba mkataba utatawala mkataba wa ununuzi unaowekwa kama kiambatisho

英语

name and signature of person completing this request

最后更新: 2018-04-05
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vivyo hivyo, mwandishi wa mtandao wa inmediahk.net aliyekuwa akiandika habari akiwa kwenye kinjia pembeni mwa barabara ya lung wo road alitishwa na polisi na bomba la maji ya kuwasha.

英语

similarly, a reporter from inmediahk.net covering the news inside a tunnel on lung wo road was suddenly threatened by a police officer with pepper spray.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kulingana na taarifa yake kwa vyombo vya habari, nba ilisitisha michezo kufuatia kuhitimishwa kwa ratiba ya [jumatano] ya michezo hadi tarehe mpya itakapotangazwa tena.

英语

according to its press release, the nba was "suspending game play following the conclusion of [wednesday's] schedule of games until further notice."

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

alifuata masharti ya polisi na akaacha kufanya kazi yake, lakini hata hivyo bado alimwagiwa maji ya kuwasha usoni bila kupewa onyo; ingawa alionesha kitambulisho chake wakati wote, bado alikamatwa na kupigwa pingu.

英语

he followed the officer's instruction and backed off, but was sprayed in his face without warning; although he showed his press badge many times, he was arrested and handcuffed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

panga ratiba ya masomo ya programu za kupitia njia za kimtandao: panga majadiliano na washikadau kuchunguza muda inayowezekana shule zitafungwa na kuamua ikiwa programu za kupitia njia za kimtandao inafaa kuangazia kufunza maarifa mpya au kuimarisha maarifa ya wanafunzi ya vipindi vilivyopita.

英语

plan the study schedule of the distance learning programmes: organise discussions with stakeholders to examine the possible duration of school closures and decide whether the distance learning programme should focus on teaching new knowledge or enhance students’ knowledge of prior lessons.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

inaonyesha vituo vyote vya kupigia kura, wilaya za kiseneta na kata, katiba ya naijeria, taarifa binafsi za wagombea, sheria uchaguzi ya mwaka 2010, ratiba ya uchaguzi, miongozo ya uchaguzi, idadi kamili iliyothibitishwa ya wapiga kura waliojiandikisha, vyama vya siasa na makarabrasha ya kutoa elimu kwa mpiga kura.

英语

it features all the polling units, senatorial districts and wards, the nigerian constitution, information on candidates, the 2010 electoral act, the election timetable, electoral guidelines, certified voters’ registration figures, political parties as well as civic and voter education modules.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,747,622,312 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認