您搜索了: ripoti tatizo na maelekezo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ripoti tatizo na maelekezo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

na hiyo ni sawa, sina tatizo na hilo.

英语

and that's ok, i don't have a problem with that.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

fungua upya tatizo na matokeo ya utafutaji

英语

redefine the problem and search results

最后更新: 2020-01-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nadhani hakuna mmoja zaidi ya wabaguzi wenye tatizo na hilo.

英语

presumably no one other than the bigoted have an issue with that.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tayari tupo kwenye tatizo na hakuna sababu ya kumtetea zaidi ya kumsaidia!

英语

we are already in a mess and nothing to defend but to help him!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

unapotembea katika mitaa, mabango ya ugenini na maelekezo, yanazidi haya tuliyonayo kwetu kwa mbali sana

英语

when you walk on the streets, foreign signs and directions, they far exceed our domestic ones.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama ungependa kushiriki, tafadhali jaza fumu ya ushiriki, na timu yetu itakujibu kwa habari zaidi za kina, ikiwa ni pamoja na maelekezo kamili ya namna ya kufika mkutanoni.

英语

if you are interested in taking part, please complete the following sign-up form, and our team will reply with more information, including the exact address of the meetup.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jambo ninalofahamu hata hivyo ni kuwa tabia hii ya utesi, ya ghasia, na ya kiuaji kwa wahindi katika nchi hii imekuwa ya kawaida mno kusema kuwa hatuna tatizo na ubaguzi wa rangi katika nchi hii.

英语

what i do know though is that this abusive, violent, murderous behaviour towards indians in this country is far too prevalent to suggest that we do not have a problem with racism in this country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ubadilishwaji halali wa vifurushi tanzania mwaka 2022 bila kuwataarifu wateja kulikuwa na mtumiaji wa mtandao wa zantel ambaye alinunua kifurushi cha shiling 2000 ambacho alikuwa anategemea kupata 1gb ,dakika 20 mitandao yote na dakika 20 zantel kwenda zantel pamoja na sms 20 ambapo alinunua kulingana na maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwenye menu lakini baada ya kukamilisha ununuzi alipokea ujumbe wa sms kutoka katika mtandao huo wenye maelezo tofauti na ofa iliyokuwa imetolewa kwenye menu h

英语

valid replacement of tanzania packages in 2022 without notifying customers there was a zantel network user who purchased the shiling 2000 package which was based on getting 1gb , 20 minutes all networks and 20 minutes zantel to zantel along with 20 smss where he purchased according to the instructions provided on the menu but upon completion of the purchase received an sms message from that network with different details and the offer provided on the menu hio ili mtaarifu kuwa amepokea mb 800,dakika 55, na sms 20 kwa wiki mitando yote baada ya hapo mteja aliamua kumpigia mtoa huduma na kumuomba achague vitu viwili kurudisha pesa au kuongeza mb 200,mtoa huduma alikubali kuwa kunachangamoto hio lakin hakukubali kuongeza mb wala kusitisha muamala

最后更新: 2022-11-18
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

inanishangaza kwamba, pamoja na mazungumzo yote kuhusu kuongeza uzalishaji wa umeme, hakuna anayetaka kukiri kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa ukiritimba wa serikali na vitendo vya ufisadi ni tatizo, na kwamba mabilioni yanayokwenda serikalini yanakuza ufisadi tu, yakisaidia walengwa kwa kiasi kidogo sana.

英语

it amazes me that, with all of the talk about increasing electricity production, nobody wants to admit into the discussion the possibility that government monopolies and corruption are the problem, and that billions more in money transferred to governments will only entrench the corruption further, with little benefit for the people.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

utamaduni wa japani pia una mwiko mkali kuhusu kujadili au hata kuonesha kuwa kuna kiungo kinaitwa uke (ingawa metroplis tv yenye kidachi, mchapishaji wa kipande hiki kinachoelimisha hapa chini, haina tatizo na kutumia maneno kama "mtumbwi wa uke" kuelezea kayak za igarashi zenye sura ya uke):

英语

japanese culture also has a strong taboo about discussing or even acknowledging vaginas (although holland-based metroplis tv, the publisher of the informative clip below, has no problem with using the term "pussy boat" to describe igarashi's vulva-shaped kayak):

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,791,689,492 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認