来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
hakuna cha kusema
nothing to say to you
最后更新: 2022-12-12
使用频率: 1
质量:
参考:
ninakosa cha kusema hapa.
at a loss here on what to say.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
sina cha kusema zaidi ya kukuelewa tu
i don't want to say more than just understand
最后更新: 2023-11-16
使用频率: 1
质量:
参考:
ninakosa cha kusema kufuatia kifo chake.
i don't have words to describe his loss.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
na akizungumzia nadharia, mwanablogu wa jordan reform watch pia anacho cha kusema na kuandika:
and speaking of theories, jordan reform watch also has something up his sleeve and writes:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
nina matumaini mengi kiasi cha kusema kwamba tunaelekea huko, bila kujali 'huko' ni wapi.
i want to be optimistic enough to say that we are getting there, wherever "there" might be.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
niombeeni nami pia ili niongeapo mungu anijalie cha kusema, niweze kuwajulisha watu fumbo la habari njema kwa uthabiti.
and for me, that utterance may be given unto me, that i may open my mouth boldly, to make known the mystery of the gospel,
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
参考:
kama wanachama wote wa ndc na wabunge wamejitokeza kuonyesha hisia zao hadharani, basi npp ambayo imekataliwa haitakuwa na chochote cha kusema.
if all members of the ndc and the members of parliament have openly come out to express their feelings, then the npp that has been rejected would have nothing to say.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
hata sijui nini cha kusema lakini kile ninachoweza kusema sasa ni kwamba ninajisikia kukerwa na kwa kweli sijui cha kufanya na kile ambacho sote kama taifa tunaweza kufanya ili angalau sekta ya madini itufaidishe na sisi siku moja
i really do not even know what to say but all i can say is that i feel so disgusted and i really do not know what we can do and what we shall do to make the dice fall in our favor as zambians one day
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
hivyo basi, kipaji cha kusema lugha ngeni ni ishara, si kwa ajili ya watu wenye imani, bali kwa ajili ya wale wasioamini; lakini kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni kwa ajili ya wale wanaoamini na si kwa ajili ya wasioamini.
wherefore tongues are for a sign, not to them that believe, but to them that believe not: but prophesying serveth not for them that believe not, but for them which believe.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
参考:
wao wakamjibu, "jemadari kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha mungu na mwenye kuheshimika mbele ya wayahudi wote ametutuma. aliambiwa na malaika mtakatifu akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha kusema."
and they said, cornelius the centurion, a just man, and one that feareth god, and of good report among all the nation of the jews, was warned from god by an holy angel to send for thee into his house, and to hear words of thee.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
nakumbuka mchezo wa kuangalia cha kusema, shauri ya kutokupenda kwangu michezo hatukuwahi kuwa na mazungumzo ya zaidi ya mistari mitano (kwa uhakika kabisa nakumbuka kwa zaidi ya miaka kumi), lakini kwa kufahamu mahusiano yetu katika maeneo mengine, angalau naweza kusema nilikuwa na baba.
i remember i considered a game to look for something to talk about, due to my lack of interest in sports we never had a conversation longer than five lines (rightfully registered for over ten years), but knowing other cases and stories, i at least had a father.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考: