您搜索了: siwezi kutoka nyumbani usiku huu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

siwezi kutoka nyumbani usiku huu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sitausahau usiku huu.

英语

i will never forget this night.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

uwe na wakati mwema usiku huu

英语

have a good night

最后更新: 2024-02-13
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bwana harusi huja kumchukua bibi harusi kutoka nyumbani kwao.

英语

the groom comes to take the bride from her house.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatua za kufanya kazi kutoka nyumbani ziliwekwa katika maeneo kadhaa uchina.

英语

remote working measures were instituted in several chinese regions.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima,

英语

(we revealed it on the night) wherein every matter is wisely determined

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@jenanmoussa: hatujala chakula cha jioni usiku huu.

英语

@jenanmoussa: we didn't have dinner tonight.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwili wake ulikutwa katika miteremko ya milima takribani yadi 200 hadi 300 kutoka nyumbani kwake.

英语

her dead body was found in the slopes of a mountain just 200-300 yards away from her home.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kutumia ujuzi wa dira toa maelezo kutoka nyumbani sehemu muhimu katika jamii zifuatazo ziko upanda gani.

英语

using compass skills, provide information from home on the key areas in the following communities.

最后更新: 2021-08-23
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mashirika yaliweka vikwazo vya usafiri ya wafanyakazi, ikakatiza kongamano, na kuhimiza wafanyakazi kufanya kazi kutoka nyumbani.

英语

corporations imposed employee travel restrictions, cancelled conferences, and encouraged employees to work from home.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kila wanapoyahitaji, basi hawana budi kutumia mpira ili kupata maji kutoka nyumbani kwangu na mwisho wa mwezi basi tunagawana gharama kadiri ya ankra.

英语

whenever they need, they use a hose to collect water from my house and at end of the month we divide the cost of water invoice to pay.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hatua ambazo unahimizwa kuchukua zinajumuisha kufanya kazi nyumbani ikiwezekana, kuepuka maeneo yenye watu wengi na kuepuka kutoka nyumbani ispokuwa iwe inahitajika kabisa.

英语

measures you are encouraged to take include working from home whenever possible, avoiding crowds and avoiding leaving your home unless absolutely necessary.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu akamwambia, "kweli nakwambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."

英语

jesus said unto him, verily i say unto thee, that this night, before the cock crow, thou shalt deny me thrice.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

nashukuru sana maana naona ulikuwa huna utayari kwa kuchati namm usiku huu kwasababu hata simu nimepigaa hupokei uwe na usiku mwema kipenzi changu jua nakupenda sana

英语

thank you so much because i see you were so unprepared for the night because even the phone call i have received you have a good night my dear sun i love you so much

最后更新: 2024-01-07
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu alipokuwa bado anaongea, watu walifika kutoka nyumbani kwa yule ofisa wa sunagogi, wakamwambia, "binti yako amekwisha kufa. ya nini kuendelea kumsumbua mwalimu?"

英语

while he yet spake, there came from the ruler of the synagogue's house certain which said, thy daughter is dead: why troublest thou the master any further?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

abd el fattah alipigwa kikatili na kukamatwa kutoka nyumbani kwake cairo novemba 26, 2013 na kutuhumiwa kwa "kuandaa maandamano ya tunapinga mashitaka ya kijeshi kwa raia" siku mbili kabla ya kukamatwa kwake.

英语

abd el fattah was violently beaten and arrested from his cairo home on november 26, 2013 and accused of "organising a 'no to military trial for civilians' protest" two days prior to his arrest.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hii ni pamoja na kuanzisha kwa muda baadhi ya vidhibiti vya mpaka, vikwazo vya kusafiiri ndnai ya nchi, kufunga au kuzuia huduma za mikahawa na biashara zingine, kupiga marufuku matukio makubwa ya umma, na katika visa vikali zaidi kuwazuia watu kutoka nyumbani isipokuwa kwa sababu muhimu.

英语

these include the temporary reintroduction of some border controls, restrictions on travel within the country, closing or limiting service at restaurants and other establishments, banning large public events, and in the most severe cases prohibiting people from leaving the house except for essential reasons.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, vyombo vya dola vilianza kupambana kwa nguvu na vuguvugu hili mapema mwaka 2010, na mousavi pamoja na karroubi, ambao wote ni wagombea wa urais, ikiwa ni pamoja na mke wa mousavi aitwaye zahra rahnavard ambao kwa pamoja waliwekwa chini ya ulinzi na kuzuiliwa kutoka nyumbani kuanzia februari 14, 2011.

英语

but authorities began a widespread crackdown on the movement in early 2010, and mousavi and karroubi, both former presidential candidates, as well as mousavi's wife zahra rahnavard were placed under house arrest on 14 february 2011.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa sababu hiyo, serikali ililaumiwa kwa mwonekano wa kulegea katika harakati ya kushughulika na wasiwasi iliyokabiliwa na umma.mnamo 16 machi, waziri mkuu boris johnson alitoa tangazo akishauri dhidi ya kusafiri kusikohitajika na kutangamana kijamii, alipendekeza watu wafanye kazi kutoka nyumbani inapowezekana na kuepuka maeneo kama vilabu, hoteli, na sinema.

英语

as a result, the government received criticism for the perceived lack of pace and intensity in its response to concerns faced by the public.on 16 march, prime minister boris johnson made an announcement advising against all non-essential travel and social contact, suggesting people work from home where possible and avoid venues such as pubs, restaurants, and theatres.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hatua msingi za kuzuia maambukizi zilizopendekezwa kwa mandhari za kazi zote inajumuisha kuosha kwa mikono mara kwa mara na vizuri, kuhimiza wafanyakazi kubaki nyumbani ikiwa ni wagonjwa, adabu ya kupumua ikiwemo kufunika kikohozi na kupiga chafya, kutoa tishu na pipa za takataka, kujitayarisha kwa kufanya kazi kutoka nyumbani au kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa kama inahitajika, kuwashauri wafanyakazi kutotumia vifaa vya wengine, na kudumisha usafishaji wa uratibu na kusafisha kwa dawa ya mandhari ya kazi.

英语

basic infection prevention measures recommended for all workplaces include frequent and thorough hand washing, encouraging workers to stay home if they are sick, respiratory etiquette including covering coughs and sneezes, providing tissues and trash receptacles, preparing for telecommuting or staggered shifts if needed, discouraging workers from using others' tools and equipment, and maintaining routine cleaning and disinfecting of the work environment.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,781,932,132 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認