您搜索了: tunajifunza (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

tunajifunza

英语

unayojifunza

最后更新: 2022-10-30
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tunajifunza vizuri kwenye makundi; ni sehemu ya asili yetu kujadili, kufikiri na kutafakari mada mahususi na kufanya mahitimisho.

英语

we learn better in groups; it is part of our nature to discuss, think and reflect on a specific topic and draw conclusions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika blogu ya brevesdeguyane, tunajifunza jinsi kanivali inavyozinduliwa huko gayana ya kifaransa na tunazivumbua picha za vielelezo vya utamaduni wa kiguyana ya kifaransa wa “touloulous”.

英语

in brevesdeguyane, we learn about the kick-off of carnival in french guiana and discover pictures illustrating the french guianese tradition of the “touloulous“.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na hivyo ndivyo tunavyojifunza kujiona kama "sisi" na "wengine", na tunajifunza historia na kutazama taarifa za habari kwa jicho hili.

英语

and this is how we learn to see “ourselves” and “others”, and this is the lens through which we have studied history and watch the news.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

tunajifunza juu ya yasmina, mwanafunzi wa zamani wa profesa youseff na mhudumu kwenye mgahawa wa sea breeze, na yazan, mpishi asiyejali, yote yakiwa katika mandhari ya ufukweni mwa mji tartous, pamoja na uandishi maridhawa wa abu fares na mariyah.

英语

we learn about yasmina, prof. youssef's former student and the waitress at sea breeze, and yazan, the nonchalant chef, all to the backdrop of tartous' marvelous sea side, and abu fares' and mariyah's exquisite writing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,747,494,403 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認