您搜索了: ukarabati (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ukarabati

英语

rehabilitation

最后更新: 2015-04-25
使用频率: 3
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

vifusi kwaajili ya ukarabati wa barabara

英语

rubble

最后更新: 2022-02-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kambi za ukarabati zimefunguliwa katika vijiji vya tarle na nar yaung.

英语

rehabilitation camps have been opened in tarle and nar yaung village.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakazi walionusurika, waliokuwa wanakagua nyumba zao kwa ajili ya ukarabati, walizungumzia namna walivyopanda kutoka paa hadi paa kutafuta eneo lililoinuka zaidi.

英语

the surviving residents, who were surveying their homes for repairs, talked of how they climbed from roof to roof seeking higher grounds.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

oni hili, linazua swali: je tutauona ukarabati katika anc ya leo, njia mpya za kuushirikisha umma kwenye maamuzi ya serikali?

英语

this comment interesting, as it begs the question: are we going to see an overhaul of the current anc, a new way of including people in government decisions?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

miezi sita baada ya kimbunga yolanda kuathiri chuo chake cha palo, leyte, bado hakuna mpango wa wazi kwa ajili ya ukarabati au kuhamishwa kwa shule kuu ya sayansi ya afya.

英语

six months after typhoon yolanda decimated its campus in palo, leyte, there is still no clear plan for the rehabilitation or relocation of the up school of health sciences.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

caracas ulikuwa ni mji uliokuwa unapendeza, wenye majengo marefu, barabara kuu, barabara za kupandana, na barabara zilizokuwa zimefanyiwa ukarabati siku za karibuni.

英语

caracas was a shiny modern city, with high-rises, highways, flyovers, and recently repaved roads.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jamii. taarifa zilizopatikana zitatumiwa na wizara ya afya ya umma na usafi wa mazingira katika kuboresha mipango ya ukarabati kwa watu wenye matatizo ya akili. taarifa hii itatumika zaidi katika mapitio ya sera za kitaifa hasa udhibiti wa dawa za kulevya ili kuzuia matumizi mabaya ya dawa za kulevya.

英语

voluntarism participation in this research is voluntary. if you choose to participate in this study you may withdraw at any time. if you do not wish to participate, you do not have to provide any reason for your decision not to participate nor will you be victimized.

最后更新: 2023-05-04
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huku lengo lake likiwa ni "kuonyesha ukweli kuhusu shule za umma", isadora anaweka picha zinazoonyesha maeneo yanayohitaji kufanyiwa ukarabati katika shule yake pamoja na kutoa taarifa kuhusu matatizo mengine mengi ya jumla.

英语

aiming to "show the truth about public schools", isadora shares photos that show the repairs needed in her own school and reports on other general problems.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hii inamaanisha kwamba fedha hizo zitatumika kwa ajili ya kununulia vifaa (mitaala, madawati, kalamu) pamoja na shughuli nyingine za mradi kama vile ujenzi wa shule; ukarabati wa madarasa; mafunzo ya utawala/waalimu; vikundi vya wazazi na waalimu; vilabu vya vvu/ukimwi; maji na usafi wa majitaka mashuleni; mafunzo ya afya shuleni; utetezi wa elimu; elimu ya ufundi/ na maisha kwa vijana, wakulima na wanawake; na maendeleo ya mitaala kwa vyuo vikuu na shule za sekondari.

英语

this means that the money would be used for material purchases (curriculum, desks, pencils) as well as project activities such as construction of schools; rehabilitation of classrooms; teacher/management training; ptas; hiv/aids school clubs; water and sanitation in schools; health education in schools; education advocacy; vocational/life-skills training for youth, farmers and women; and curriculum development for secondary school/university.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,739,801,837 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認