来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
umahiri mahususi
specific skills
最后更新: 2022-02-02
使用频率: 1
质量:
参考:
umahiri
skill
最后更新: 2013-11-26
使用频率: 1
质量:
参考:
umahiri mkuu
great competence
最后更新: 2021-02-08
使用频率: 1
质量:
参考:
majadiliano mahususi ya kikundi
focus group discussion
最后更新: 2021-11-19
使用频率: 1
质量:
参考:
na zungumzia masuala mahususi yanayowagusa watu.
and be more specific than anyone.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
idadi fulani ya protini zilizo mahususi kikizazi zimesimbwa na vizazi tofauti vya cov.
a number of lineage-specific accessory proteins are also encoded by different lineages of covs.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
ni vigumu kuunda na kuzalisha antibodi mahususi kwa haraka zaidi ili kupambana na janga la ulimwengu mzima.
it is difficult to develop and produce specific antibodies rapidly enough to fight against a global epidemic.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
sehemu hiyo ilifuatiwa na kusomwa kwa tenzi kadhaa zilizokuwa zimeandikwa kwa lugha ya kiingereza mahususi kwa ajili ya ibada hiyo.
this was followed by a reading of several poems written in english specifically for the vigil.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
unakaribishwa zaidi kutembelea tovuti yetu, bofya tu kwenye jina la mimea kwa maelezo zaidi na picha ya mmea huo mahususi.
you more than welcome to visited our website, just click on the plants name for more information and photo of that specific plant.
最后更新: 2021-11-23
使用频率: 1
质量:
参考:
aina ya mtandao wa uandishi na uchapishaji wa mtandaoni ambao blogu ya kikaribea ya vitabu na geoffrey philp wanawazia utahitaji aina hii ya umotomoto na umahiri.
an online writing and publishing network like the one caribbean book blog and geoffrey philp imagine will need this kind of breadth and enthusiasm.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
katika posti yenye kichwa cha habari yatima, yatima, yatima!, mwanablogu resistracism yu mahususi zaidi:
in a post titled orphans, orphans, orphans!, resistracism is more specific:
最后更新: 2023-09-08
使用频率: 1
质量:
参考:
gavana wa jimbo la marylanda alitoa kibali kwamba huduma mahususi za kutunza watoto zisalie kufunguliwa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi wa dharura huku jimbo la washington na california yaliwa yameacha uamuzi huo kufanywa na watoa huduma wa kutunza watoto.
the governor of maryland mandated that specific child care services remain open for the children of emergency personnel while washington state and california have left it to the discretion of care providers.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
seli za t za aina ya cd4+ huchochea seli za b kuzalisha antibodi zinazokabiliana na virusi mahususi na seli aina ya t za cd8+ huuwa seli zilizoathirika na virusi moja kwa moja.
cd4+ t cells stimulate b cells to produce virus-specific antibodies, and cd8+ t cells directly kill virus-infected cells.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
kila serikali ya nchi za afrika imechagua mfumo mahususi unaoendana na utamaduni wake, wenye viwango tafauti vya mafanikio, lakini zikitambua umuhimu wa kulinda angalau kwa kiwango cha chini, idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na vitisho mbalimbali.
each african government has chosen a system specific to its culture, with varying degrees of success, but all recognize the necessity of protecting at a minimum the most vulnerable populations.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
katika siku ya uchaguzi, elección ciudadana wataendesha kituo cha kujitolea - kilichoratibiwa kwa kiasi kikubwa na venezuela inteligente - mahususi kwa ajili ya watu binafsi kupokea, kuhakiki na kuchapisha taarifa.
on election day, elección ciudadana will be maintaining a volunteer center - organized largely by venezuela inteligente - for individuals to intake, verify and post reports.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
blogu ya trailtracker, ambayo marafiki wa wanablogu na waandishi hawa wamekuwa wakiitumia kuweka mara kwa mara taarifa za maendeleo ya kesi yao pamoja na hali yao, wanamwelezea atnaf kama mhabeshi ambaye "anafahamika kwa umahiri wake wa kutumia twita kusambaza kwa haraka habari motomoto za nchi yake".
the trailtrackerblog, where supporters post regular updates about the case and the bloggers' condition, describes him as a young ethiopian who is "known for his use of twitter handle for hyper local updates."
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式