您搜索了: unaofahamika (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

unaofahamika

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

uso unaofahamika zaidi hong kong

英语

hong kong's most recognizable face pic.twitter.com/nrl1d17a5t — edde (@edourdoo) september 28, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuwait inaonesha furaha yake kupitia video iliyobuniwa upya ya wimbo wa pharrell unaofahamika kwa jina la furaha.

英语

kuwait is happy with its very own version of pharrell's happy music video.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mandela alitumikia kifungo kwa miaka 27 kwa sababu ya mapambano yake dhidi ya mfumo wa kibaguzi wa afrika kusini unaofahamika kama ukaburu.

英语

mandela spent 27 years in jail for his struggle against south africa's system of racial segregation known as apartheid.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

soga la mtandaoni la love it or hate it , kuhusu zoezi la mabonge ya barafu mapema mwaka huu lilikuza uelewa wa ugonjwa unaofahamika kama amyotrophic lateral sclerosis.

英语

love it or hate it, the online buzz surrounding the ice bucket challenge earlier this year brought more awareness to the disease amyotrophic lateral sclerosis (als).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

utafiti wa nchini denmaki wa 2012 ulionyesha kwamba kuosha mikono kupita kiasi kunaweza kusababisha hali ya mwasho wa ngozi unaofahamika kuwakizema ya mikono au ugonjwa wa ngozi ya mikojno hali zilizo za kawaida hususan miongoni mwa wafanyakazi wa matibabu.

英语

a 2012 danish study found that excessive hand washing can lead to an itchy, flaky skin condition known as hand eczema or hand dermatitis, which is especially common among health-care workers.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika awamu ya pili ya mwezi machi, wafanyakazi milioni 4 wafaransa walituma maombi ya manufaa ya kutoajiriwa na wafanyakazi milioni 1 waingereza walituma maombi ya mpango wa mkopo wa kwa wote.takriban kampuni nusu milioni nchini ujerumani zimewatuma wafanyakazi wao katika mpango unaofadhiliwa na serikali wa kazi ya muda mfupi unaofahamika kuwa kurzarbeit.

英语

during the second half of march, 4 million french workers applied for temporary unemployment benefits and 1 million british workers applied for a universal credit scheme.almost half a million companies in germany have sent their workers on a government-subsidized short-time working schemes known as kurzarbeit.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi ya waandamanaji 3,000 wakiwa wamekaa je ya baraza la wawakilishi kushinikiza kufutwa kwa muswada unaopendekeza masurufu kwa vigogo wa serikali wanaoondoka madarakani, muswada unaofahamika kama "muswada wa walafi".

英语

more than 3,000 protesters sit outside the macau legislative council calling for the withdrawal of the out-going top official compensation bill, which is also known as "bill of greeds and privileges".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,793,409,000 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認