您搜索了: unyanyapaa (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

unyanyapaa

英语

stigma

最后更新: 2016-06-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

parvita naandika zaidi kuhusu unyanyapaa unaoambatana na wanawake waliotalikiwa nchini indonesia:

英语

parvita writes more about the stigma associated with divorced women in indonesia:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa sababu ya kutokuwa na uelewa, kuna unyanyapaa wa hali ya juu na mikanganyiko kuhusiana na ukimwi sasa.

英语

because of the lack of knowledge, there is a lot of stigma and misconceptions surrounding aids now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nchini sierra leone, hannah foullah anatumia mtandao wa facebook kupambana na unyanyapaa dhidi watu wenye ebola.

英语

in sierra leone, hannah foullah is using facebook to fight ebola-related stigma.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kijamii, nchini haiti, nilibaini mnamo mwezi februari kuwa tayari kulikwishakuwa na unyanyapaa mkubwa unaoambatana na ugonjwa wa kuharisha.

英语

socially, in haiti, i found in february that there was already tremendous stigma attached to diarrhea.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

zaidi ya madhara ya kimwili ya kuwa na vvu, vilevile kuna unyanyapaa na miiko inayotokana na kuwa na ugonjwa, ambayo husababisha ugumu kwa watu kupata matibabu stahiki na msaada.

英语

in addition to the physical complications of having hiv, there's also the stigma and taboo that comes with having the disease, which makes it harder for people to receive adequate treatment and support.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

unyanyapaa wanaofanyiwa watu wenye asili ya afrika katika sehemu kubwa ya nchini hiyo husababisha machotara wengi kutotaka kujulikana kuwa wana asili ya afrika, wakati takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kuwa raia wa nchi hiyo wenye asili ya afrika wanafikia asilimia 25 ya watu wote.

英语

the stigma associated with african descent in much of the country leads mixed-race individuals to identify away from their afro roots, and unofficial figures place the afro-colombian community at as high as 25% of the total population.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jarida la kila siku la israeli haaretz liliripoti mnamo mei 20 kuwa kupambana na unyanyapaa wa watu weusi, kituo cha kuwasaidia wafanyakazi wa kigeni kimewasaidia waafrika kuandaa "barua ya wazi kwa watu wa israeli".

英语

the israeli daily haaretz reported on 20 may that to counter the stigmatization of black people, a support center for foreign workers has been assisting africans in preparing "open letters to the israeli people".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

watu wenye kupenda mapenzi ya jinsia moja ndio ambao wamekuwa wakihusika na masuala mengi ya kijamii na ubaguz wa kikazi katika nchi yetu, na wala hatujawahi kuona unyanyapaa na hisia za ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi zikipatiwa majibu yake kikamilifu, na pia kuhusu uwezo wao wa kitaalam na haki ya kutafuta aina yoyote ya kazi.

英语

the transgender individuals are the ones who deal with the most social and labor discrimination in our country, nor has the stigma and prejudice towards individuals with hiv/aids been completely resolved, and also in regards to their professional abilities and the right to pursue any type of employment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jina hili lilichaguliwa ili kuepuka kurejelea eneo mahususi la kijiografia (k.m. china), aina za wanyama au vikundi vya watu, kulingana na mapendekezo ya kimataifa kuhusu kutoa jina linalolenga kuzuia unyanyapaa. virusi vinavyosababisha covid-19 vinaitwa virusi vya korona vya ugonjwa mbaya wa pumu 2 (sars-cov-2).

英语

the name had been chosen to avoid references to a specific geographical location (e.g. china), animal species or group of people, in line with international recommendations for naming aimed at preventing stigmatisation.the virus that causes covid-19 is named severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (sars-cov-2).

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,794,592,118 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認