您搜索了: unyanyapaa wa wagonjwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

unyanyapaa wa wagonjwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

hii imesababisha utambuzi wa mapema wa usuli miongoni wa wagonjwa wa hatari ya chini.

英语

this has led to initial early identification of background spread in low-risk patients.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa sababu ya kutokuwa na uelewa, kuna unyanyapaa wa hali ya juu na mikanganyiko kuhusiana na ukimwi sasa.

英语

because of the lack of knowledge, there is a lot of stigma and misconceptions surrounding aids now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pia inafahamika kwamba mlipuko wa saitokini hutokana na mfumo wa kinga ya mwili wa wagonjwa kutoa antibodi kupita kiasi kupigana na sars na mers.

英语

it has been known that a cytokine storm results from an overreaction of the immune system in sars and mers patients.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ufuatiliaji wa wagonjwa walio katika hali ya chini ya hatari unapaswa kuwa kigezo cha wakati tumefikia upeo huu na wakati viwango vya maambukizi vimeanza kupungua.

英语

surveillance of low-risk patients should inform when we reach this tipping point and when infection rates start to remit.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kupima kwetu wagonjwa walio katika hatari ya chini kutaonyesha iwapo mkakati wa udhibiti uliowekwa kwa msingi wa upimaji wa kivairolojia wa wagonjwa walio katika hatari kubwa na watu waliogusana naye na kujitenga.

英语

our testing of low-risk patients will also inform whether the containment strategy that is based on virology testing of high-risk patients and their contacts plus self-isolation is effective.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

madaktari wanaofanya uchunguzi huo walipendekeza kuwa, ili kupunguza maambukizo na kutenga ppe, kwa sababu ya idadi kubwa ya wagonjwa wasioonyesha ugonjwa, uchunguzi wa wagonjwa wote wajawazito unapaswa kufanywa.

英语

the doctors conducting the screening recommended that in order to reduce infection and allocate ppe, due to high numbers of patients presenting as asymptomatic, universal screening of pregnant patients should be conducted.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jarida la kila siku la israeli haaretz liliripoti mnamo mei 20 kuwa kupambana na unyanyapaa wa watu weusi, kituo cha kuwasaidia wafanyakazi wa kigeni kimewasaidia waafrika kuandaa "barua ya wazi kwa watu wa israeli".

英语

the israeli daily haaretz reported on 20 may that to counter the stigmatization of black people, a support center for foreign workers has been assisting africans in preparing "open letters to the israeli people".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

katika kipindi cha katikati hadi mwishoni wa mwezi disemba 2019, mkusanyiko wa wagonjwa wa nimonia ambao awali ulifahamika kuhusishwa na maambukizi ya sars-cov-2 uligunduliwa kule wuhan, mkoa wa hubei, china.

英语

during middle to late december 2019, clusters of pneumonia patients retrospectively known to be associated with sars-cov-2 infection were detected in wuhan, hubei province, china.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

meena, fanani katika katuni, inaendelea kutoa hamasa kwa maisha ya watoto pamoja na kukemea unyanyapaa wa kijinsia katika jamii.... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) tarehe 24 disemba, 2013

英语

animation character meena continues to influence lives of children and dispel negative social stereotypes... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) december 24, 2013

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
8,033,226,352 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認