您搜索了: utakuwa raiya wa tanzania (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

utakuwa raiya wa tanzania

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

jamhuri ya muungano wa tanzania

英语

county executive officer

最后更新: 2015-11-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwacheni lowassa awe rais wa tano wa tanzania

英语

let @edwardlowassa be the tanzania fifth president, — mwamfupe anyisile (@anyisile) august 15, 2015

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nembo rasmi ya miaka 50 ya uhuru wa tanzania.

英语

official logo for tanzania at 50.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

labda hata mimi anaandika kuhusu uchaguzi wa tanzania na jumuiya inayokua ya teknolojia:

英语

labda hata mimi writes about tanzania election and the growing tech community:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tanzania: zinavyosema blogu na twita katika sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanzania

英语

tanzania: blogging and tweeting tanzania@50 · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika mtandao, wanablogu na watumiaji wa twita wanasherehekea na kutafakari kwa kina mustakabali wa tanzania.

英语

online, bloggers and tweeps are celebrating and reflecting on the future of tanzania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tanzanite si mali ya wa-tanzania tena, uliyahifadhi kwa ajili yetu lakini wananchi wananufaika nayo kidogo sana.

英语

#dearnyerere tanzanite is no longer tanzanian, you preserved it for us but the people are gaining very little from it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ukuaji wa uchumi wa tanzania kwa siku za usoni unadhaniwa kuongezeka kutokana na kipato kutokana na rasilimali za asili kama vile gesi katika mkoa wa mtwara.

英语

predictions regarding the country’s economic growth are based on future income from natural resources, like gas from the region of mtwara.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

desemba 9, 2011, ni siku maalumu kwa watanzania wakati tanganyika, ambayo ni sehemu ya muungano wa tanzania ikitimiza miaka 50 ya uhuru.

英语

the 9 december, 2011, is a big day for tanzanians as the mainland part of the united republic of tanzania, tanganyika, turns 50.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

window ya challenge ya tatu ni wazi. changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. timu ya innovation challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa tanzania.

英语

the third challenge window is open. the challenge will include three to five themes. the dli innovation challenge team will develop these themes through consultation with relevant tanzanian stakeholders.

最后更新: 2017-12-04
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hebu ijaribu - uchaguzi wa tanzania utakuwa jumapili hii, na litakuwa jambo la kufurahisha kuona jinsi zana hii inayowika itakavyochagiza upatikanaji taarifa katika tukio hili.

英语

check it out now - the tanzania elections are on sunday, and it will be interesting to see how the crow-sourching tool will boost information in this regard.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

serikali yetu inafikiri maendeleo yataletwa na wageni kwa kuwaacha wa-tanzania, kwa mujibu wa mwalimu nyerere hatuwezi kutegemea makampuni ya kigeni na kufanya tunavyojisikia!

英语

our government thinks our development will be brought by foreigners in exclusion of tanzanians, according to mwalimu nyerere we cannot depend on foreign company and act as we please!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dar es salaam, ambao ni mji mkuu wa kibiashara wa tanzania, unarejea katika hali yake ya kawaida baada ya siku mbili za kuwa mwenyeji wa mtu anayeaminika kuwa mwenye mvuto mkubwa duniani, rais wa marekani, barack obama.

英语

dar es salaam, tanzania's commercial capital, is getting back to normal after two days in which the city found itself playing host to arguably the most powerful man on earth: president barack obama of the united states.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hivi karibuni, mnamo septemba 2, 2012, mwandishi wa habari wa tanzania daudi mwangosi aliawa kwa kile kinachodaiwa kuwa bomu la kutoa machozi katika kijiji cha nyololo, mufindi kusini, iringa mkoa ulioko kusini mwa tanzania.

英语

most recently, on september 2, 2012, tanzanian journalist daudi mwangosi was killed by a tear gas canister in nyololo village in mufindi south (iringa region) in southern tanzania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na kisha ghafla @pmmeleszenawi aliingilia kati, ikiwa ni bayana kabisa kwamba 'alituma jumbe za twiti baada ya kifo chake' akimlenga mbunge wa tanzania zitto kabwe:

英语

and then suddenly @pmmeleszenawi intervened, apparently 'tweeting after death' to tanzania's member of parliament zitto kabwe:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

miaka kumi na sita baada yakifo chake kilichotokea oktoba 14, 1999, wa-tanzania wanatumia alama habari ya #dearnyerere kumkumbuka, hasa katika mukhtadha wa uchaguzi mkuu wa tanzania utakaofanyika oktoba 25, 2015.

英语

sixteen years after his death on 14 october 1999, tanzanians are using the hashtag #dearnyerere to remember him, particularly in the context of tanzanian general election taking place on 25 october, 2015.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).

英语

similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,746,479,885 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認