您搜索了: uunganishaji (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

uunganishaji

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ufafanuzi wa pili unahusiana na nafasi ya zana za mkononi na uunganishaji.

英语

the second explanation is related to the role of mobile devices and connectivity.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama msukumo katika ukuaji, uunganishaji tena umeenea miongoni mwa virusi vya beta-cov.

英语

as a driving force in evolution, recombination is widespread among beta-covs.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sampuli zaidi za kusababisha ugonjwa za cov zinaweza kukua kupitia uunganishaji tena, na kusababisha kupatikana kwa protini mpya au sifa za protini kwa ajili ya kuzoeleka kwenye mbebaji.

英语

more pathogenic cov strains might also evolve by recombination, leading to the acquisition of novel proteins or protein features for host adaptation.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

vilevile, imeonyeshwa kwamba janga la mers-cov lilishuhudia matukio ya uunganishaji kati ya vizazi tofauti, uliotokea katika ngamia warefu zaidi nchini saudi arabia.

英语

likewise, it has been shown that the epidemic mers-cov experienced recombination events between different lineages, which occurred in dromedary camels in saudi arabia.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuwepo kwa subpleural kwa wingi, njia mbovu (unene unaohusiana na lobular na mjazo tofauti wa alveolasi), na uunganishaji unaweza kuonekana ugonjwa unavyoendelea.

英语

subpleural dominance, crazy paving (lobular septal thickening with variable alveolar filling), and consolidation may appear as the disease progresses.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pendekezo kinzani linaunga mkono uunganishaji tena kati ya virusi vya beta-cov vinavyohusiana na sars-cov-2 vilivyopatikana kwa kakakuona na ratg13 katika aina ya tatu ya wanyama wa porini.

英语

a counter-proposal is in favour of a recombination between a pangolin sars-cov-2-related beta-cov and ratg13 in the third wild animal species.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pili, jinomu kubwa ya rna kwenye covs ina uwezo zaidi wa kubadilika umbo katika urekebishaji wa jinomu kwa ajili ya mabadiliko na uunganishaji tena, hivyo kuongeza uwezekano wa ukuaji pamoja baina ya viumbe, jambo ambalo ni la manufaa kwa kuibuka kwa cov mpya hali zikiwa zinafaa.

英语

second, the large rna genome in covs exerts extra plasticity in genome modification for mutations and recombination, thereby increasing the probability for interspecies co-evolution, which is advantageous for the emergence of novel covs when the conditions become appropriate.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ushahidi wa kifilojenetiki wa uunganishaji tena asilia umepatikana katika hcov-hku1 na hcov-oc43, na vilevile virusi vyacov vilivyopatikana ndani ya wanyama kama vile virusi vya sl-cov ya popo na virusi vya cov-hku9 vya popo.

英语

phylogenetic evidence of natural recombination has been found in both hcov-hku1 and hcov-oc43, as well as animal covs such as bat sl-cov and batcov-hku9.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,749,223,124 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認