来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
uzuri sana
very beautiful
最后更新: 2019-11-21
使用频率: 1
质量:
参考:
uzuri uzuri wako
uzuri wako ndio chanzo
最后更新: 2022-07-15
使用频率: 1
质量:
参考:
hapana m 'uzuri
no m 'beauty
最后更新: 2022-03-24
使用频率: 1
质量:
参考:
uzuri ako siwez ona dosari yeyote
you are a very attractive girl
最后更新: 2021-10-09
使用频率: 1
质量:
参考:
huo ndio uzuri wa mtandao wa intaneti.
that is the beauty of the internet.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
the beauty of scrubbing into a piece of tree
最后更新: 2018-09-09
使用频率: 1
质量:
参考:
na uzuri ulioje kuwa pamoja na watu hao!
and excellent are those as companions.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
nataka kuona uzuri wako kwenye simu ya video kesho jioni
i want to see your beauty on video call tomorrow evening
最后更新: 2023-09-02
使用频率: 2
质量:
参考:
uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
there is one glory of the sun, and another glory of the moon, and another glory of the stars: for one star differeth from another star in glory.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
参考:
jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.
for the sun is no sooner risen with a burning heat, but it withereth the grass, and the flower thereof falleth, and the grace of the fashion of it perisheth: so also shall the rich man fade away in his ways.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
参考:
mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana.
but when the earth has taken on its finest appearance, and looks beautiful, and its people think they have it under their control, then by day or by night, our command comes to it and we convert it into a field of stubble, as if nothing had existed there the day before.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza; isipo kuwa yule uliye mmiliki kwa mkono wako wa kulia.
beyond that, no other women are permissible for you, nor can you exchange them for other wives, even if you admire their beauty, except those you already have.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考:
hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana.
the example of [this] worldly life is but like rain which we have sent down from the sky that the plants of the earth absorb - [those] from which men and livestock eat - until, when the earth has taken on its adornment and is beautified and its people suppose that they have capability over it, there comes to it our command by night or by day, and we make it as a harvest, as if it had not flourished yesterday.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
参考: