您搜索了: vikundi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

vikundi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

vikundi vya ujasiriamali

英语

entrepreneurial groups

最后更新: 2022-07-31
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vikundi vidogo, wanafamilia na makampuni yanahitaji kutafutana.

英语

small groups, families and companies need to quickly check in with each other.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

blogu ya kufuatilia shauri hilo inabainisha kwamba vikundi hivyo vinafanana kiitikadi..

英语

trial tracker notes that the two groups are ideologically dissimilar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

(3) ukusanyaji wa sampuli za serolojia miongoni mwa vikundi vya umri wote.

英语

(3) serology sample collection across all age groups.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hali ya hewa ilishakuwa ya kuchangamsha, kukiwa na vikundi viwili vya mashabiki pinzani wakiimbiana.

英语

the atmosphere was already electric, with the two sets of fans trying to out-sing each other.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mapigano yalipoanza, vikundi mbalimbali vya kijeshi vilitafuta wanajeshi kutoka kwenye rika la watoto.

英语

when the fighting began, different military groups searched for soldiers in the ranks of children.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mtumiaji mwingine wa twitter aliwafananisha washambuliaji na wanamgambo wa vikundi vya al shabaab na boko haram:

英语

another twitter user compared the attackers to militants from the militant groups al shabaab and boko haram:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

(vikundi hivyo vya vijana) vimekuwa madalali wa mabadiliko ambayo nchi yangu inayahitaji.

英语

they became the possible agents of change my country needed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nchini columbia, kuna matukio mengi, na wanawake wengi wamejipanga kupitia vikundi vya mtandao wa facebook.

英语

in colombia, cases abound, and many woman have organized in groups on facebook.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vikundi vya jumuiya za kiraia vilihakikisha kwamba havikuachwa nyuma na vilipaza sauti juu ya umuhimu wa wananchi kushiriki katika zoezi hili.

英语

civil society groups made sure they were not left out and they shouted loudly on the need for citizens to participate in the noble exercise.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

uzoefu wake katika nchi za marekani ya latini katika kupambana na uhalifu wa aina hii uantafutwa na vikundi ambavyo vina nia ya kuukwepa uhalifu huu wa jinai.

英语

his experience throughout latin america dealing with this crime is sought after for groups wanting to learn how to avoid this crime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mfumo wa viwango ya udhibiti wa hatari ni mfumo unaotumiwa sana katika usalama wa kikazi na afya kuweka katika vikundi udhibiti wa hatari kulingana na ufanisi.

英语

the hierarchy of hazard controls is a framework widely used in occupational safety and health to group hazard controls by effectiveness.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

harakati hizi zilianzishwa mnamo mei 2011 na vikundi mbalimbali vilivyo nje ya uzbek vyenye msimamo wa kuipinga serikali kwa lengo la kuhakikisha kuwa utawala wa rais islam karimov unaangushwa.

英语

the movement was formed in may 2011 from a number of foreign-based uzbek opposition movements and rights organizations and stated its goal as being the downfall of president islam karimov's regime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

daktari zhang jixian alitazama vikundi vya ugonjwa wa mchochota wa pafu ambazo chanzo chao hakijulikani mnamo 26 desemba, kufuatia hii hospitali yake iliwajulisha cdc ya wuhan jianhan mnamo 27 desemba.

英语

doctor zhang jixian observed a cluster of pneumonia cases of unknown cause on 26 december, upon which her hospital informed wuhan jianghan cdc on 27 december.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huko karachi, kampala, cairo na skopje washiriki wengi tayari wamekutana na wanachama wa global voices waliowezesha mafunzo ya vikundi na kushirikishana maarifa katika tasnia ya uandishi wa kiraia.

英语

in karachi, kampala, cairo and skopje dozens of participants have already met gv members who facilitated peer learning and knowledge sharing in the field of citizen media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baada ya kutiwa nguvuni, petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya pasaka.

英语

and when he had apprehended him, he put him in prison, and delivered him to four quaternions of soldiers to keep him; intending after easter to bring him forth to the people.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tulichakua kwa makini kabisa makala zilizokuwa bora zaidi kutoka katika mfululizo wetu wa kuhusu mgogoro wa kiuchumi wa ulaya ambapo mfululizo huo ulianza majira ya machipuo ya 2011, na kuandikwa na vikundi vya waandishi wetu wa kimataifa wanaofanya kazi kwa bidii kama waandishi wa kiraia.

英语

we hand-picked and assembled the best posts, from our special coverage on europe in crisis launched in spring 2011, and written by our team of dedicated international citizen-reporters.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hii imesababisha wacheza kamari wengi kuelekea mtandaoni, na tovuti nyingi za kucheza kamari mtandaoni zikiripoti kuongezeka kwingi katika viwango vya wanaojiandikisha.sekta ya burudani imeathiriwa pia, na vikundi vingi za muziki kusimamisha au kufuta safari za maonyesho.

英语

this has led many gamblers to move online, with many online gambling sites reporting significant increases in their rates of new sign-ups.the entertainment industry has also been affected, with various music groups suspending or cancelling concert tours.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).

英语

benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

utafiti mwingi wa kipindi hiki ulikuwa wa umuhimu wa kudumu, sio tu kwa mt lakini pia kwa lugha za kiakili na akili ya bandia - haswa, maendeleo ya dikteta za kibinadamu na za mbinu za uchambuzi wa maumbile - na vikundi vingi vya nadharia vilitoa mchango mkubwa kwa nadharia ya lugha. . walakini, lengo la msingi la mifumo ya kujenga yenye uwezo wa kutoa tafsiri nzuri haikufikiwa. matumaini yalikuwa juu, kulikuwa na utabiri mwingi wa imminen

英语

much of the research of this period was of lasting importance, not only for mt but also for computational linguistics and artificial intelligence — in particular, the development of automated dictinaries and of techniques for syntactic analysis — and many theoretical groups made significant contributions to linguistic theory. however, the basic objective of building systems capable of producing good translations was not achieved. optimism had been high, there were many predictions of imminen

最后更新: 2019-12-07
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,715,694,515 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認