您搜索了: vipi huko marekani , mambo yanaendaje? (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

vipi huko marekani , mambo yanaendaje?

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mambo yanaendaje huko

英语

how are things going there

最后更新: 2021-10-22
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mambo yanaendaje lakini

英语

it's been a long time since we've seen each other.

最后更新: 2023-03-28
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mambo vipi huko

英语

dont worry

最后更新: 2022-02-01
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hydroxychloroquine inapatikana sana kuliko chloroquine huko marekani.

英语

hydroxychloroquine is more commonly available than chloroquine in the united states.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maktaba hiyo ni ya pili kwa umuhimu katika masuala ya amazon huko marekani ya latini.

英语

this library is the second most important on the subject in latin america.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huko marekani, mchakato huu unajulikana kama "matumizi ya dawa mpya" au nda.

英语

in the united states, this process is called a "new drug application" or nda.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kituo cha udhbiti na uzuizi wa ugonjwa huko marekani hufuatilia maelezo ya usafiri wa watu wanaotuma data za abiria wa ndege.

英语

the center for disease control and prevention in usa tracks the travel information of individuals using airline passenger data.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

madaktari wa hali mahututi na madaktari wa mapafu huko marekani wamejumuisha mapendekezo ya matibabu kutoka kwa mashirika anuwai kuwa rasilimali ya bila malipo, ibcc.

英语

intensivists and pulmonologists in the u.s. have compiled treatment recommendations from various agencies into a free resource, the ibcc.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

martin luther king jr. alizaliwa tarehe 15 januari, 1929 na akawa mmoja wa wasemaji na watetezi wakuu wa harakati za haki za kiraia huko marekani.

英语

martin luther king, jr. was born on january 15, 1929 and became arguably the american civil rights movement's most prominent advocate and speaker.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

shirika la afya duniani na vituo vya kudhibiti na kuzuia ugonjwa huko marekani hushauri wanawake wajawazito kufanya mambo sawa kama umma kwa ujumla ili kuzuia maambukizo, kama vile kujifuka ukikohoa, kuepuka kutangamana na watu wagonjwa, kusafisha mikono kwa kutumia sabuni na maji au kisafisha mikono chenye kileo cha kuua viini.

英语

the world health organization and centers for disease control and prevention of the united states advises pregnant women to do the same things as the general public to avoid infection, such as covering cough, avoid interacting with sick people, cleaning hands with soap and water or sanitizer.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huko marekani bado kuna pendekezo kuwa watoto wachanga na mama watenganishwe kwa muda hadi tahadhari zinazotegemea maambukizo zimekomeshwa, na ambapo hii haiwezekani, mtoto mchanga anapaswa kuweka umbali wa mita 2 kutoka kwa mama.

英语

in the us there is also the recommendation that newborns and mothers should be temporarily separated until transmission-based precautions are discontinued, and that where this is not possible the newborn should be kept 2 metres away from the mother.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wazo hili likiwa linashajiishwa na makala ya ellen miller iliyotoka katika blogu ya sunlight foundation, ambayo inaelezea kazi za wanawake wanaotumia teknolojia ili kuhamasisha uwazi huko marekani. kwa hiyo tuliamua kuongeza kwenye orodha hiyo kwa kuwaelezea wanawake kadhaa kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanaotumia teknolojia kuzishinikiza serikali kuwa wazi na zinazowajibika zaidi.

英语

inspired by ellen miller's post on the sunlight foundation blog, which profiles the work of women who use technology to promote transparency in the united states, we decided to add to the list by profiling several women from around the world involved in the use of technology to make government more transparent and accountable.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

haa, mama janet kataaha museveni (nee kainembabazi), mke wa rais tangu mwezi mei 1986 ametoa hadharani wasifu wake binafsi (cv) akikwea hatua kwa hatua kutoka mama wa kupanga safari za mumewe mpaka kuwa mbunge anayewakilisha jimbo la ruhaama, kisha waziri wa nchi anayeshughulikia mambo ya karamoja (februari 27, 2009) mpaka kuwa waziri kamili wa masuala ya karamoja (tangu mei 27, 2011). na mtu yeyote anayefikiri kwa makini lazima awe na wasiwasi na ukweli uliofichwa, kwamba kwa kurejeshwa tena ukomo wa mihula ya urais, basi maana yake ni kwamba itawezekana mama huyu akashawishiwa na chama kinachotawala cha nrm kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho kama ilivyokuwa kwa mwanamama cristina fernandez de kirchner, rais wa sasa wa ajentina ambaye alisimikwa na chama cha mumewe (frente para la vietoria) kuchukua nafasi ya mume wake baada ya kipindi chake kumalizika ingawa mwaka 2007 chama democrats (huko marekani) kwa dhati kabisa walimkataa hilary rodmahn clinton...

英语

eehm, mama janet kataaha museveni(nee kainembabazi),the country's first lady since may 1986 has fast drawn out quite an impressive c.v, elevating her status from a mere itinerary mother figure to an elected m.p representing ruhaama county then state minister for karamoja affairs(16th february, 2009) currently to cabinet minister for karamoja affairs(27th may, 2011) and no serious thinker should doubt the pending reality, that with the restoration of presidential term limits, it will all then be within the bounds of possibility that she could be fronted by ruling nrm as the party's flag bearer to run for presidency jest like with cristina fernandez de kirchner, argentina's current president who was annointed by her husband's party(frente para la vietoria) to replace him after his tenure expired in 2007 though the democrats(in the us)outrightly rejected hilary rodmahn clinton...

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,791,724,911 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認