您搜索了: waliyokuwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

waliyokuwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake.

英语

and when they had seen it, they made known abroad the saying which was told them concerning this child.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inashangaza pale unapogundua kuwa kumbe hata ulaya kuna watu masikini na hata pale mtu atakaposhuhudia kuwa bara hili la mda mrefu siyo pepo waliyokuwa wakiiwazia.

英语

it is surprising when you find out that even in europe there are poor people and when someone admits that the old continent is not the paradise they dreamed of.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale wachungaji walirudi makwao huku wakimtukuza na kumsifu mungu kwa yote waliyokuwa wamesikia na kuona; yote yalikuwa kama walivyokuwa wameambiwa.

英语

and the shepherds returned, glorifying and praising god for all the things that they had heard and seen, as it was told unto them.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lengo la mgogoro huu ni kuhusu kutunza na kuwa na uhuru na ardhi waliyokuwa wanaitumia kwa karne nyingi na sasa zinatumiwa kama hifadhi zao za asili:

英语

the conflict focuses on claiming the preservation and autonomy of the lands that they have inhabited for centuries and that are now being exploited for their natural resources:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, nyumba ambayo washia waliyokuwa kikikutania huko giza, jijini cairo, ilishambuliwa na kuchomwa moto.

英语

according to various reports, the house the shia were meeting in, in giza, cairo, was attacked and burned.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hazem barakat anasema kuwa, polisi hawakutimiza wajibu wao kufuatia salafists kushambulia nyumba waliyokuwa wakikutania waumini wa shia huko misri (@7azem122)

英语

police remained idle as a home where shia egyptians were meeting today was attacked by salafists, says hazem barakat (@7azem122)

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri habari njema juu ya ufalme wa mungu. aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.

英语

and jesus went about all galilee, teaching in their synagogues, and preaching the gospel of the kingdom, and healing all manner of sickness and all manner of disease among the people.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wanne nchini misri ambao ni wafuasi wa imani ya shia wameuawa nchini humo hii leo mara baada ya nyumba waliyokuwa wanakutania kushambuliwa na waislam wenye msimamo mkali , hali iliyotokana na uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia.

英语

four egyptian adherents of the shia faith were killed in egypt today when the house they were meeting in was attacked by salafists, following two weeks of instigation against the shia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@simsimt: nilistahimili vipigo vikali kichwani kwangu kwa jiwe, kwa sababu simu yangu waliyokuwa wanaishikilia ilipigiwa simu kutoka marekani. #sudanrevolts

英语

@simsimt: i endured severe beating up on my head w/ a rock, 'cause my phone while in their possession, received a call from the u.s. #sudanrevolts

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@lwangamwilu: baadhi ya watu kwa miujiza walipata utajiri katika miaka miaka 3 waliyokuwa madarakani, hebu waache wachunguzwe – milupi #zambia

英语

@lwangamwilu: some people miraculously acquired wealth in 3 years in office, let them be investigated - milupi #zambia

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,740,623,989 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認