您搜索了: wananchi na kilimo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wananchi na kilimo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.

英语

in the region, land degradation and cultivation of marginal land increase the risk that extreme events can develop into natural disasters.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@egypresidency: rais mosry anawasihi wananchi na wanajeshi kuheshimu sheria na katiba na kutokukubali mapinduzi haya yanayoirudisha #misri nyuma

英语

@egypresidency: pres. morsy urges civilians and military members to uphold the law & the constitution not to accept that coup which turns #egypt backwards

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

thiat, mmoja wa viongozi wa kundi hilo, anaeleza kuwa kwanza na kabla ya yote kundi hilo ni kundi la wananchi, na si kundi la kumpinga wade:

英语

thiat, one of the leaders of the group, explains that it is first and foremost a movement of citizens, not an anti-wade movement:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tusipochukua hatua za kuwazuia watu waliochaguliwa na wananchi na wasaidizi wao, hali ilivyo kwa sasa inatia wasiwasi sana, mazungumzo yote ya namna ya kupandisha hali za maisha ya watu hayatakuwa na maana yoyote na yatakuwa porojo za kikoloni.

英语

unless we stop, doubtful in contemporary circumstances, elected public figures and their surrogates from stealing public funds, all talk about raising living standards is nothing but old colonial school colonial talk under the skin of the guy next door.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nchi zilizowahi kutawaliwa na wakoloni zilirithi uchumi na taasisi za kijamii zenye misingi ya kinyonyaji, hali inayodhihirishwa na pande mbili zenye tofauti kubwa kati ya sekta ndogo rasmi na sekta kubwa isiyo rasmi, ikiwa ni pamoja na kilimo.

英语

postcolonial states inherited extractive economic and social institutions, characterised by a sharply marked dualism between a small formal sector and a huge informal sector, including farmers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jina lang ni aisha haji mdimu ni mtanzania natokea mkoa wa tanga wilaya ya lushoto kijiji cha mbelei katika umri wa miaka 14 nlkua darasa la saba katika shule ya msingi namba baada ya kuhitimu nlifaulu na kujiunga na kidato cha kwanza mbelei sekondari nikiwa na miaka 15 ambapo ni mwaka 2017 nliendelea mbele na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2020 miaka hyo yote niliishi na wazazi wangu mkoani tanga nlianza kujishughulisha na kilimo cha mbogamboga na ufugaji wa kuku baada ya muda nlianza kufany bia

英语

lang's name is aisha haji mdimu is a tanzanian and from the tanga region of lushoto district in the village of mbelei at the age of 14 nlkua seventh grade in primary school number after graduating i graduated and joined form 1 at 15 years old which is 2017 i went ahead and graduated form 4 in 2020 all the years i lived with my parents in tanga region i started to engage in agriculture. vegetables and chicken farming after a while i started to make beer

最后更新: 2023-12-18
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mfano, mashirika haya yanapaswa kuwa (1) makini zaidi yanapofanya matangazo ya umma kwa sababu kila neno lina maana kwa wananchi na linaweza kubadilisha mitazamo na maamuzi yao; (2) kuwa makini zaidi na kuchukulia hatua taarifa zisizo za kawaida kutoka katika kliniki kuliko kusubiri kupokea ripoti rasmi kutoka kwa madaktari au maafisa; (3) kuweka vikwazo zaidi ili kudhibiti uwezekano wa kutokea janga katika awamu yake ya awali kuliko kujaribu kuifariji umma na (4) mra kwa mara kutoa majaribio faafu zaidi ili kuongeza ufahamu wa umma kuhusu magonjwa ya janga na kujaribu kuboresha mfumo wa majibu ya jamii muda baada ya muda.

英语

for example, these agencies should be (1) more careful when making public announcements as every word counts to citizens and can change their attitude and decisions; (2) more sensitive and reactive to unusual information from clinics rather than waiting for formal reports from doctors or officials; (3) more restrictive to contain a potential epidemic at its early stage rather than attempting to comfort the public; and (4) more often to issue targeted and effective drills to increase the public's awareness about epidemic diseases and to test and improve the response system of the society periodically.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,740,138,724 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認