您搜索了: wanandoa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wanandoa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

marekani: wanandoa wa rangi tofauti wanyimwa cheti cha ndoa

英语

usa: interracial couple denied marriage license · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo unapendekeza uhusiano wa mwajiriwa/mwajiri kwa wanandoa?

英语

are you suggesting an employee / employer relationship for the married couple?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilishiriki kumaliza mgogo wa wanandoa unaosababishwa na ulevi wa pombe uliopitiliza wa baba

英语

i participated in ending the couple's tragedy caused by the father's excessive addiction.

最后更新: 2022-09-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

naam pendekezo hili linataka kutatua hali ya sasa ambayo wanandoa wengi wa kifilipino wanakabiliwa nayo siku hizi.

英语

well this proposition just want to address the present situation that most of the filipino couples are facing nowadays.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pinoy politico haelewi kwa nini wanandoa wasioelewana wasubiri mpaka miaka kumi ipite kabla ya kufuta ndoa yao

英语

pinoy politico doesn’t understand why incompatible couples have to wait for ten years before they can terminate their marriage

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ugumu wa kuelewa na kukubalika katika utamaduni tofauti ni jambo ambalo wanandoa wenye asili tofauti hukutana nalo kila mara.

英语

difficulty of understanding and being accepted in a different culture is something interracial couples face regularly.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati huo huo, wanandoa hao wataafikiana na kuanza duru nyingine ya starehe kitandani ili kusuluhisha mgogoro na hawatataka kuendelea na kesi.

英语

in the meantime, the couple reconciles and settles another round of pleasure on bed to resolve the dispute and do not want to pursue further.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

habari moja mwanzoni mwa mwezi huu ilithibitisha mwelekeo huu; na kadhalika wanandoa wanatengana kutokana na tofauti za kisiasa:

英语

a news report early this month confirmed this trend; and couples are also separating because of political differences:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kisa kilicho maarufu zaidi kilikuwa kile cha nyumba ya misumari ya chongqing cha mwaka 2007, ambapo wanandoa fulani walifikia makubaliano na mwendelezaji baada ya miaka mitatu ya mvutano.

英语

the most famous one was the chongqing nail house case in 2007, when a chinese couple reached negotiated agreement with the developer after 3 years of standoff.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tuchukulie kuwa ndoa itakwisha muda wake baada ya miaka kumi, ni nini kitachotokea kwenye uhusiano wa mali baada ya miaka 10? uhalali wa mikataba ambayo wanandoa waliingia pamoja?

英语

supposing that marriage will expire in ten years, what will happen to the property relations after 10 years? the validity of contracts entered into by the spouses jointly?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

muswada huo, pamoja na mambo mengine, unawalazimisha wanandoa kuwa na umiliki sawa wa mali zao, na kuwafanya wenzi wanaoishi pamoja bila ndoa kuwa na haki za kumiliki mali na pia unafanya ubakaji unaofanyika kati ya wanandoa kuwa kosa la jinai:

英语

the bill, among other things, makes asset-sharing mandatory in a divorce, provides cohabiting partners with property rights and makes marital rape illegal:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wastani wa talaka ulipanda kutoka 20,000 kwa mwaka kufikia zaidi ya 200,000 kwa mwaka katika kipindi cha miaka kumi. amini usiamini, wanandoa wengine huamua kutengana kwa sababu mume na mke wana mwelekeo tofauti kuhusu masuala ya siasa.

英语

the divorce rate jumped from an average of 20,000 a year to more than 200,000 a year over the decade believe it or not, some couples decide to divorce because the husband and wife have different takes on political issues.

最后更新: 2023-10-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

afisa wa kutathmini na uandikishaji (muamuzi wa amani), keith bardwell, alidai kwamba katika uzoefu wake, “ndoa za rangi tofauti hazidumu kwa muda mrefu” na akasema alikuwa “akiamua hivyo kwa ajili ya watoto wa wanandoa hao”.

英语

the justice of the peace, keith bardwell, claimed that in his experience, "interracial marriages do not last long" and stated that he was "doing it for the children."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,776,964,735 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認