您搜索了: wanaomwunga (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wanaomwunga

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

maandamano ya wanaomwunga mkono gbagbo jijini paris, machi 26, 2011.

英语

pro-gbagbo protests in paris, france, march 26, 2011.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanaomwunga mkono kagame pia wanafahamika kwa kuendesha wavuti ndogondogo za kublogu za twitter.

英语

kagame supporters are also on the popular microblogging site, twitter.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mapigano kati ya wanajeshi wanaounga mapinduzi hayo na wale wanaomwunga mkono rais toure bado yangali yakiendelea.

英语

fights between soldiers who support the coup and others that remain loyal to president touré are still ongoing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanablogu na mwanahabari wa video menna alaa leo hii ameshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wanaomwunga mkono morsi.

英语

blogger and video journalist menna alaa was attacked by angry pro-morsi supporters today.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtandaoni, watumiaji wa intanenti na wote wanaomwunga mkono walibaki na matumaini na bado wakiwa wasiwasi na ukweli wa habari hizi.

英语

online, netizens and supporters remain hopeful yet skeptic.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi ya kubadili picha zao mtandaoni kwa ajili ya siku hiyo, watumiaji wa mtandao wanaomwunga mkono walitumiana nukuu na twiti za abd el fattah.

英语

in addition to changing their avatars for the day, supporters shared some of abd el fattah's quotes and tweets.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@repent11: mwandishi wa habari akiwa suez amenipigia sasahivi akisema kuna mapigano ya kutisha yanaendelea kati ya jeshi na waandamanaji wanaomwunga mkono morsi.

英语

@repent11: a journalist in suez just called me saying intense clashes between army and pro-morsi protesters.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.

英语

from the side that supports the president, tweets express joy and satisfaction, while those who support henrique capriles share mixed feelings of disappointment with deep convictions that changes are possible in the future.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

taarifa za mipango ya wanaomwunga mkono mbeki za kuunda chama kipya ziliibuka mwishoni mwa juma lililopita baada ya tamko la kamati kuu ya taifa ya anc kutangaza uamuzi wake wa kumuondoa madarakani mbeki kutoka katika nafasi ya juu kabisa nchini humo.waziri wa ulinzi, mosiuoa lekota, makamu wake mluleki george na gauteng premier mbhazima shilowa wanasadikiwa kuongoza juhudi hizo za kupiga kampeni ili kuanzishwa kwa chama hicho kipya ambacho bado hakijapewa jina.

英语

news of the plans by mbeki supporters to form a new breakaway party emerged this weekend after the anc national executive committee (nec) announced that it had resolved to recall mbeki from his office. defence minister mosiuoa lekota, his deputy mluleki george and gauteng premier mbhazima shilowa are believed to be spearheading the campaign to start the still-to-be-named political party.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,195,550 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認