您搜索了: wanaopenda (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wanaopenda

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

katika blogu yao, wameweka tangazo lao la kualika watu wanaopenda kujitolea:

英语

on their blog they've posted their call for volunteers:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sherehekeni na wa-iraki wanaopenda uhuru kwani leo wanaonyesha msimamo wao wa demokrasia. #iraq

英语

celebrate with freedom-loving iraqis as today they make their case for democracy. #iraq

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hebu tuwanyamazishe watu wanaopenda kukosoa kila kitu na tushukuru kwamba kuna utafiti makini unaendelea ili kuweza kupambana na maradhi hayo hatari.

英语

let's just stop the pessimism people and just be thankful that there is active research being geared towards fighting the deadly disease.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa wakenya wanaopenda kandanda, msiwe na matarajio makubwa mno ili msijekupatwa na machungu ikiwa henri hatabadilisha mambo kutoka katika hali tuliyonayo.

英语

good people and football- loving kenyans, great expectations may make us frustrated and bitter if the football does not change for the better under monsieur le bon!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.

英语

for without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murderers, and idolaters, and whosoever loveth and maketh a lie.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na ni kwa hatari kiasi gani matamko yenye hisia za ubaguzi wa rangi yanayotolewa na watu kama malema na wanasiasa wengine ambao wanaopenda siasa za kibaguzi?

英语

and just how dangerous are the racial utterances by people like malema and other politicians who are fond of racial political posturing?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kuwa wimbo wa “ueni wanawake” ulikuwa ni wimbo wa watu wanaopenda kuonea na kudharau wanawake, kwa hiyo wanaume weny kudharau wanawake wanaweza kutengeneza macarena yaw imbo huo kwenye vilabu vya wanaume pekee.

英语

so long as “kill the women” was some sort of misogynist anthem, chauvinists can do the macarena to it in male-only clubs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mfano, kwa mujibu wa taasisi ya taifa ya takwimu ya madagaska (insat) pamoja na mfuko wa takwimu ya watu wa umoja wa mataifa (unfpa), mmoja kati ya wanawake watano walioolewa wanaopenda kupangilia uzazi au kuzuia mimba hawana elimu ya uzazi wa mpango (asilimia 19), na kiwango cha utoaji mimba kinakadiriwa kufikia mwanamke mmoja kati ya kila wanawake 10 wanaojifungulia katika vituo vya afya.

英语

for example, one out of five married women who wishes to space out or limit pregnancies has no access to family planning services (19 percent), and the abortion rate is estimated at one out of every 10 live births, according to the madagascar national institute of statistics (insat) and the united nations fund for population (unfpa).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,778,176,491 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認