您搜索了: watafsiri (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

watafsiri

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

watafsiri wetu wanahakikisha kwamba habari hizo zinapatika katika lugha 35.

英语

our translators render these stories into more than 35 languages.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nyingi za tafsiri hizi zimefanywa na wanachama wa mradi wa lingua wa global voices, jamii ya watafsiri wanaojitolea.

英语

many of these translations came from members of the global voices' lingua project, a community of volunteer translators.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika global voices tunawashirikisha waandishi, wahariri, na watafsiri, ambao hutufahamisha kuhusu ukiukwaji wa uhuru wa kujieleza na haki za binadamu.

英语

at global voices we engage a community of authors, editors, and translators, who help keep us all informed of free speech and human rights abuses.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jumuia yetu imekaribia kuwa mara mbili zaidi kwani mtandao wa sauti za dunia kwa sasa una takribani waandishi 700 na watafsiri 600 wa kujitolea na pia kuna zaidi ya watu 700 wanaotoa michango yao kwa kila mwezi.

英语

our community has nearly doubled in size - gv now has over 700 authors and 600 translators volunteering; as many as 700 people contribute in a given month.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa sasa mradi huo unaendeshwa na watafsiri wa ki-malagasi wapatao 16 miongoni mwao akiwamo mmoja wa watafsiri wadogo kabisa wa global voices , mwenye umri wa miaka 16 aitwaye radifera felana candy.

英语

there are currently 16 active malagasy translators, among them is one of the youngest global voices translator, 16-year-old radifera felana candy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"ushirikiano na global voices ni ushahidi wa namna tunavyoweza kuzifikia familia nyingi zaidi kwa kushirikiana na mtandao wao imara wa watafsiri na wanablogu,” anasema ida jeng wa shirika hilo la refugees united.

英语

"our partnership with global voices is evidence of how we can reach even more families by collaborating with their powerful network of translators and bloggers,” says ida jeng of refugees united.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kila siku katika global voices wahariri na waandishi pamoja na watafsiri wetu wa kujitolea wanafanya kazi kuvuka mipaka ya nchi zao, saa za mahali waliko na kuvuka viambaza vya lugha kukuletea habari zinazotokana na sauti za wananchi wa kawaida ambazo kwa kawaida hazithaminiwi sana vyombo vikuu vya habari, kukuleta taarifa za uhuru wa kujieleza mtaoni na kuwaunga mkono wale wote wanaoungana na majadiliano haya ya mtandaoni.

英语

every day at global voices our editors and volunteer authors and translators work across borders, time zones and language barriers to bring you important citizen-driven stories the mainstream media doesn't have the time or interest to cover, report on online freedom of expression and support others in joining the global conversation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangu mwaka uliopita, watafsiri wa global voices wamekuwa wakifanya kazi na shirika hilo la kukutanisha wakimbizi kwa kutafsiri vitendea kazi vyao, kutumia mitandao ya kijamii na ujumbe mfupi wa meneno (sms) kwenda katika lugha za kiswahili, kifaransa, kisomali, kiamhari, kiarabu cha sudani na kiarabu asilia.

英语

since last year, global voices translators have been working with refugees united to translate outreach materials, social media and sms messages into swahili, french, somali, amharic, sudanese arabic and standard arabic.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,157,044 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認