您搜索了: wavenezuela (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

wavenezuela

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wavenezuela jijini the hague, uholanzi.

英语

venezuelans in the hague, holland.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mamia ya wavenezuela waliandamana kwenye viwanja vya times square.

英语

hundreds of venezuelans protested in times square.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wavenezuela jijini sydney walionyesha mshikamano wao kuunga mkono maandamano ya wanafunzi

英语

venezuelans in sydney show their solidarity with the student marches

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mpwa wangu amenitumia picha hii ya wavenezuela na wageni wanaoandamana leo mjini malta.

英语

my cousin sent me this photos of venezuelans and foreigners protesting today in malta.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

gaby silva aliweka video kwneye mtandao wa instagram inayoonyesha maandamano yaliyofanywa na kikundi cha wavenezuela jijini madrid.

英语

gaby silva published a video on instagram of the demonstration by a group of venezuelans in madrid.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakipepea vitambaa vyeupe na kukeba mishumaa, wavenezuela hao walifanya maombi kwa ajili ya wanafunzi waliouawa tarehe 12 februari.

英语

wearing white and carrying candles, venezuelans prayed for the students who died on february 12th.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali yao wameandaa mikusanyiko ya amani kupaza sauti zao na kuzifanya serikali za nchi wanazoishi kuelewa mwenendo wa mambo.

英语

venezuelans around the world who oppose their government have organized peaceful gatherings to make their voices heard and ensure local governments understand what their compatriots are living through.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya wavenezuela ng'ambo walitumia fursa ya maandamano hayo kupeleka nyaraka kwa mashirika ya kimataifa au mabunge ya nchi hizo wanakoishi.

英语

some venezuelans abroad took advantage of the protests to deliver documents to international organisations or to the parliaments of the countries where they live.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya maandamano haya, wavenezuela waliandaa mkesha mbele ya jengo la makao makuu ya umoja wa mataifa ya marekani (oas) jijini mexico tarehe 18 februari.

英语

after this march, venezuelans arranged a vigil in front of the oas (organization of american states) headquarters in the mexican capital on february 18th.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapo, wakiungwa mkono na baadhi ya wananchi wa mexico, wavenezuela hao walidai uhuru wa habari wakati huu ambapo vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza habari na kuimba wimbo wa "uhuru", "amani" na "hatutaki vifo zaidi", kisha wakaimba wimbo wa taifa wa venezuela kama inavyoonekana kwenye video ifuatayo :

英语

there, with the support of several mexicans, venezuelans demanded freedom of information in the presence of media censorship and shouted in unison “freedom”, “peace”, and “no more deaths”, then sung the venezuelan national anthem as seen in the following video :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,782,261,475 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認