来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
kaida za lugha
language norms
最后更新: 2021-06-17
使用频率: 1
质量:
参考:
na zana za ujenzi
and building tools
最后更新: 2022-10-28
使用频率: 1
质量:
参考:
zana za kilimo na huko hutumia
farm tools and there uses
最后更新: 2024-01-30
使用频率: 1
质量:
参考:
zana za mkononi zinaongezeka nchini.
the number of portable devices in the country is growing.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
zana za kufundishia na kujifunzia kumudu stadi za kisanii
swahili
最后更新: 2023-01-08
使用频率: 1
质量:
参考:
ufafanuzi wa pili unahusiana na nafasi ya zana za mkononi na uunganishaji.
the second explanation is related to the role of mobile devices and connectivity.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
msumbiji: je, zana za uandishi wa kiraia zimeua blogu?
mozambique: has social media killed blogging? · global voices
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
a r rahman aliwashangaza na kuwachangamsha wote kwa kipaji chake cha muziki wakati akiongea pia sentensi za lugha ya kitamil.
one in particular, a r rahman, dazzled and charmed everyone with his musical genius while also speaking sentences in tamil.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
zana za kidijitali zilizorahisi kutumia zinasaidia watu kutengeneza maudhui kwa lugha zao, na kusaidia upatikanaji wa mtandao wa wazungumzaji wa lugha hizi, bila kujali sehemu za kijiografia.
easy-to-use digital tools allow for more people to create content in their language, and the internet for speakers of these languages to connect, regardless of geographic distances.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
afrika: ujuzi wa matumizi ya zana za habari za kijamii kwa vijana wanaoishi na ulemavu.
africa: social media skills for african youth with disabilities · global voices
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
kutoa zana za kuwezesha serikali kuunda programu rasmi za utafutaji wa watu wenye virusi vya korona ambayo inalinda faragha
rollout of tools to enable governments to create official privacy-preserving coronavirus tracing apps
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
taasisi kadhaa zimekuwa zikitumia zana za kufuatilia hali za maisha ya watu walio katika hatari ili kufahamu sababu nyuma ya hali hizi.
several organisations have implemented tools to monitor the lives of vulnerable populations in order to clarify the reasons behind it.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
kufikia machi, upungufu na viwango duni ya zana za vipimo imekuwa changamoto kwa kupimwa kwa umma eu na uingereza na marekani.
by march, shortages and insufficient amounts of reagent has become a bottleneck for mass testing in the eu and uk and the us.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
baadhi za lugha zinakosa herufi za kompyuta zinazowasaidia watumiaji kuandika kwa lugha zao, na sehemu nyingine za dunia bado hazina mtandao wa intaneti, hali inayowafanya watengwe na mazungumzo ya mtandaoni.
some languages lack a keyboard that allows users to write in their language, and many parts of the world still lack adequate connectivity, excluding them from the online conversation.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
ilikuwa ni vigumu kupata habari katika mtandao (isipokuwa kwenye blogu za lugha ya ki-bangla) na kila mtu alikuwa akijaribu kupata habari zilizosasishwa.
information online was hard to come by (except some bangla blogs) and everybody was trying to get updates.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
januari 24, ni siku ambayo inategemewa kuwa ya kuzindua rasmi hadithi, ambalo ni jukwaa la kuhifadhia zana za bure za kitaaluma mjini nairobi, kenya.
on january 24, the official launch of hadithi, a platform for hosting open access academic content will take place in nairobi, kenya.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
girifna, wanaharakati wa vuguvugu la amani, walitumia zana za habari za kiraia kama facebook na twita ili kutawanya habari kuhusu mahali walipo waandamanaji katika mji huo mkuu wenye majimbo matatu.
girifna, a non-violent movement, used social media sites like facebook and twitter to convey information about the whereabouts of protests around the tri-state capital.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
wanablogu wa bahrain wanaujia juu uamuzi wa waziri wa habari wa nchi hiyo wa kuzuia upatikanaji wa tovuti mbalimbali, kadhalika kuzuia matumizi ya tovuti vivuli zinazoruhusu watumiaji kuperuzi tovuti nyingine zilizozuiwa na zana za kuchuja habari.
bloggers in bahrain are fuming at a decision by the country's minister of information to block access to scores of websites, as well as prevent access to proxy sites which enable surfers to get to sites in a roundabout manner.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
anadia niger ina malengo ya kuendeleza mbinu na zana za kutathmini hatari ya mafuriko, kutegemeza mipango kwenye viwango tofauti vya uamuzi, kuzidisha ujasiri wa jamii, na kuendeleza uwezo mkubwa zaidi wa kutabiri na kuitikia.
anadia niger aims to develop methodologies and tools to assess flood risk, to support planning at different decision making levels, to increase the resilience of local communities and to develop a greater capacity for forecasting and response.
最后更新: 2023-11-14
使用频率: 1
质量:
参考:
ma pia alitoa msaada wa zana za kimatibabu kuelekea kanada. uholanzi, uhispania, uturuki, georgia na jamhuri ya czech walitoa hisia zao kuhusu barakoa zilizotengenezwa uchina na vifaa vya kupima virusi.
ma also donated medical supplies to canada.the netherlands, spain, turkey, georgia, and the czech republic expressed their concerns over chinese-made masks and test kits.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考: