您搜索了: zilizotokana (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

zilizotokana

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

vurugu zilizotokana na uchaguzi ziliwafanya maelfu kuingia mtaani.

英语

electoral unrest has also motivated thousands out into the streets.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2006 kulikuwa na karibu ya kesi 1000 za talaka zilizotokana na mume kuoa mke mwingine.

英语

records show that in 2006 there were nearly 1000 cases of divorce because of husbands marrying another woman.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watumiaji wa mtandao pia wametoa maoni yao mbalimbali kuhusiana na maandamano haya wakiiunga mkono jamii ya mapuche, hatua zinazochukuliwa na serikali pamoja na taarifa tofauti tofauti zilizotokana na jambo hili.

英语

netizens have also commented on the various reports about the protests in favor of the mapuche, the government's reactions, and the diverse television reports that have come out on the issue.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

msimamizi wa mawasiliano alihalalisha kufungwa kwa idhaa hiyo kwa sababu ya matukio ya tarehe 22 mei, 2009, ambapo ilisambaza habari zilizotokana na dhana kuwa uchimbaji wa mafuta kwenye kisiwa cha puna kungewaathiri wakazi wa kisiwa hicho, ambao wanapata kipato chao kutokana uvuvi.

英语

the superintendent of telecommunications justified the channel's closing because of the events of may 22, 2009, when it spread news based on assumptions regarding the exploitation of gas on the puná island that will affect the residents of the island, who make a living in the fishing industry.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

moja wapo ya jamii zilizotokana na uzao wa kale wa kitumwa nchini brazil, quilombo rio dos macacos, ambapo kadri ya familia 50 zinaishi, wapatiwa tarehe kamili ya kuondolewa: machi 4, 2012.

英语

one of the oldest slave descendent communities in brazil, quilombo rio dos macacos, where around 50 families live, has a date for eviction: march 4, 2012.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wafanyakati wa sekta ya umma waliomba ongezeko la mishahara kwa asilimia 65 ili kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha zilizotokana na hatua za kurekebisha hali ya uchumizilizochukuliwa na rais joyce banda, ikiwa ni pamoja na kuishusha thamani ya kwacha (sarafu ya nchini malawi).

英语

public sector workers had asked for a 65 percent wage increase to combat a rising cost of living sparked by president joyce banda's tough economic reforms, including a devaluation of the local kwacha currency.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,954,301 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認