来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
kama indonesia itafanikiwa katiaka kuchuja yaliyopo mtandaoni, nchi nyingine katika eneo hili zinatarajiwa kufuata mfano huo.
if indonesia succeeds in filtering web content, other countries in the region are expected to follow this model.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
tafiti hiyo pia inaonyesha kuwa pesa zinazotumwa kutoka nje kuelekea nchi zinazoendelea zinatarajiwa kuongezeka na kufikia mpaka dola bilioni 351, na kufikia dola bilioni 481 duniani zikijumuishwa nchi zilizoendelea.
the study also shows that remittances are expected to reach as high as 351 billion dollars to the developing countries, and 481 billion dollars globally including the high-income countries.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
mradi huo ulizinduliwa leo na ifikapo mwezi juni mwaka huu (ndio, ndani ya miezi mitatu), shule 245 za mfano zinatarajiwa kuwa zimeunganishwa tayari.
the project was launched today and by june this year (yes, in 3 months), the pilot of 245 schools is expected to be done.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinatarajiwa kuathiri vibaya zaidi (na pasipo uwiano) mwenendo wa maisha, afya, na fursa za kielimu kwa watu wanaoishi kwenye ufukara.
the impacts of climate change are expected to seriously (and disproportionately) affect the livelihoods, health, and educational opportunities of people living in poverty.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: