您搜索了: zungusha dira kwa mzunguko wa saa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

zungusha dira kwa mzunguko wa saa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mzunguko wa hedhi

英语

menstrual cycle

最后更新: 2023-05-18
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hakika kama kungekwa na noti bandia kwenye mzunguko wa uchumi tungeshaona mfumuko wa bei ukipaa mara tatu.

英语

honestly if there is fake money circulating in the economy we would have seen inflation tripling.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alishikiliwa na polisi wa kairo kwa muda wa saa saba kabla hajaruhusiwa kupiga simu kwenye nyumba ya watawa wenzake.

英语

he was detained by the police in cairo for another seven hours for interrogation before he was permitted to telephone his community of friars.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na uko kwake ujuzi wa saa ya kiyama, na kwake yeye mtarudishwa.

英语

he alone has knowledge of the hour, and to him will you return.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuzunguka mzunguko wa mzunguko hali ya uraia wa uraia wa kiraia ustaarabu wa madai ufafanuzi kufafanua mgongano classic classical uainishaji kuainisha kibali

英语

circulate circulation circumference circumstance citizen citizenship civil civilization civilize claim clarification clarify clash classic classical classification classify clearance

最后更新: 2024-04-14
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bila ya shaka ningewataka mashabiki wa liverpool waache ikiwa wangekuwa wanapiga kelele kwa nota moja tu ya ywnwa kwenye masikio yangu kwa muda wa saa moja na nusu.

英语

i would certainly ask a liverpool fan to stop if they just screamed one note of ywnwa in my ear for an hour and a half.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwisho wake barabara hizo mbili zilizopo kwenye eneo la kiuchumi la jiji hilo zilifungwa mwendo wa saa 9 mchana.

英语

eventually the two main roads at the center of the financial district were blocked at around 3 p.m.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alisema yeye alibishana na mtumishi mmoja wa cpvpv kama kuketi katika maeneo ya umma wakati wa saa za swala ilikuwa kosa.

英语

he said he argued with the cpvpv member whether sitting at public places at prayer times was illegal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hillary clinton alisema siku ile kuwa hukabiliani na china kwa njia ambayo unakabiliana na nchi ya dunia tat una hiyo ilikuwa ndiyo njia yake ya kuashiria kwa mzunguko mahali ambapo aniweka uganda katika orodha ya ukubwa (wa mataifa).

英语

hillary clinton said it the other day that you don't handle china the way you do a third world country and that was her way of indicating indirectly where exactly she puts uganda in the pecking order.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na ametukuka mwenye ufalme wa mbingu na ardhi na viliomo ndani yake. na uko kwake ujuzi wa saa ya kiyama, na kwake yeye mtarudishwa.

英语

and blessed be he to whom belongs the kingdom of the heavens and the earth, and all that is between them, and with whom is the knowledge of the hour, and to whom you (all) will be returned.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini walipotambua kuwa yeye ni myahudi, wote kwa sauti moja walipiga kelele: "mkuu ni artemi wa efeso!" wakaendelea kupayukapayuka hivyo kwa muda wa saa mbili.

英语

but when they knew that he was a jew, all with one voice about the space of two hours cried out, great is diana of the ephesians.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hata hivyo, siku chache baadae, rais michael sata aliweka wazi kwamba ni kweli benki kuu ya zambia kwa maelekezo ya kilichokuwa chama cha upinzani nchini humo mmd, ilichapisha “noti bandia” ambazo inasemekana ziko kwenye mzunguko wa fedha.

英语

however, a few days later, president michael sata disclosed that actually the bank of zambia under the direction of the then ruling mmd, printed “fake money” which is said to be in circulation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

英语

he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ace2 iliyounganishwa ya binadamu (rhace2) imechukuliwa kuwa matibabu mapya ya majeraha makali ya mapafu, na ilionekana kuboresha mzunguko wa damu mwilini na ukolevu wa oksijeni katika nguruwe wadogo walio na ugonjwa uliosababishwa wa shida kali ya mfumo wa kupumua wa lipopolysaccharide.

英语

recombinant human ace2 (rhace2) is surmised to be a novel therapy for acute lung injury, and appeared to improve pulmonary hemodynamics and oxygen saturation in piglets with a lipopolysaccharide-induced acute respiratory distress syndrome.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika twiti hii, girifna anaelekeza watu eneo la maandamano huko omdurman: girifna - omdurman: nawaalika wakazi wa omdurman kuelekea al-sabeel na katika mzunguko wa al-doha

英语

in this tweet , girifna directs people to the location of new protests in omdurman: girifna - omdurman: calling on the residents of omdurman to head now to al-sabeel and al-doha roundabout

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inaonyesha ramani ya dunia na mwingiliano wa saa unaosaidia kuonyesha taarifa za vitisho na ukamataji unaofanywa dhidi ya wanablogu duniani kote, na ni mhimili mkuu wa kukusanyia taarifa kutoka katika asasi na wanaharakati walioamua kujitoa muhanga kwelikweli, zikiwemo committee to protect bloggers (kamati ya kuwalinda wanablogu), the arabic network for human rights information (mtandao wa kiarabu wa haki za binadamu kwa taarifa), wanahabari wasio na mipaka, shrika la kuchunguza haki za binadamu, blogu ya sherika za mitandao, shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, kamati ya kulinda waandishi wa habari, kitengo cha utetezi cha global voices.

英语

it features a world map and an interactive timeline that help visualize the story of threats and arrests against bloggers worldwide, and it is a central platform to gather information from the most dedicated organisations and activists, including committee to protect bloggers, the arabic network for human rights information, reporters without borders, human rights watch, cyberlaw blog, amnesty international, committee to protect journalists, global voices advocacy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,130,480 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認