您搜索了: alijaribu (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

alijaribu

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

alijaribu kuiweka simu kwenye kipaza sauti ili nami niisikie.

西班牙语

trató de poner el teléfono en altavoz para que yo escuchara.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mawasilian ya simu yalikuwa mabaya sana. inawezekana kuwa kila mtu alijaribu kupiga simu kwa wakati mmoja na mtandao ulielemewa.

西班牙语

la conección telefónica era muy mala, probablemente cada uno quiso hacer una llamada al mismo tiempo y el sistema estaba sobrecargado.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtumiaji @wildeji, mkufunzi wa mbwa, alijaribu kukumbuka siku ya kihistoria madiba alipoachiwa kutoka gerezani:

西班牙语

el usuario @wildeji, entrenador de perros, trató de capturar la fecha histórica de la liberación de madiba de prisión:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hakika, raia mmoja alijaribu kulishinikiza baraza la mawaziri liitake bodi ya madaktari kuchunguza afya ya rais kupitia mahakama kuu lakini ombi lake lilitupiliwa mbali.

西班牙语

de hecho un ciudadano intentó obligar al gabinete a solicitar dicha junta a través de la corte suprema pero se desestimó su solicitud.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadae alijaribu kutetea kitendo chake hicho akieleza matumaini yake kwamba kupiga kwake kura hakukuvuruga "mshikamano wa mageuzi".

西班牙语

más tarde, justificó sus acciones expresando su esperanza de que su voto no trastocase la "solidaridad reformista".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

akifanya kazi kama mwandishi wa habari mwandamizi, alijaribu kuonesha msimamo wake kwenye uandishi habari ulio na ubora ambao vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taifa la ethiopia havikuwahi kuuonesha.

西班牙语

trabajando como reportera senior, intentó transmitir optimismo acerca del periodismo de calidad que los medios estatales etíopes pocas veces mostraban.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuhusu blogu ya usov ukrainska pravda, mtumiaji facebook anayejiita lyubomyr drozdovskyy alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusiana na ukatili unaoshtua wa maisha katika gereza la lukyanivska kama yalivyoonyeshwa kwenye filamu:

西班牙语

en el blog ukrainska pravda de usov , lyubomyr drozdovskyy, usuario de facebook, ofreció esta explicación a la impactante crueldad de la vida en lukyanivska que muestra la película:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tena alijaribu kulikufuru hekalu nasi tukamtia nguvuni. kama ukimhoji wewe mwenyewe, utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo." tulitaka kumhukumu kufuatana na sheria yetu.

西班牙语

intentó también profanar el templo, pero le prendimos. nosotros quisimos juzgarle conforme a nuestra ley

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

walimtoa mwanangu mo'ath na dereva nje ya gari kisha polisi alijaribu kuchukua simu yangu, lakini mo'ath alimwambia asiniguse hata chembe walichukua zawadi na polisi alikuja katika kiti cha mbele na alimwamuru dereva kuelekea katika ofisi ya mkuu wa upelelezi huko buraidah.

西班牙语

sacaron del coche a mi hijo mo'ath y al chofer, y un agente de policía intentó quitarme el móvil, pero mo'ath le dijo que no me tocara cogieron los regalos y un policía se sentó en el asiento delantero y dijo al conductor que fuera a la dirección general de inteligencia en buraidah.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,800,469,074 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認