您搜索了: inavyoonekana (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

inavyoonekana

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

izabela wójcik anakumbusha jinsi poland inavyoonekana nchi za nje:

西班牙语

izabela wójcik se refiere a la imagen de polonia en el extranjero:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakuna haja ya kurudia hapa namna filamu hiyo inavyoonekana, nenda ukaitazame!

西班牙语

no hace falta decir aquí si es una buena película, ¡mírenla!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi ndivyo inavyoonekana kuwa katika majimbo mengi ya kusini-magharibi mwa nchi.

西班牙语

así parece haber sucedido en la mayor parte de la región suroeste del país.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha ya skrini ya tovuti inavyoonekana baada ya kuingiza neno: wachumba wa kivietnam.

西班牙语

imagen de pantalla del portal de un sitio web luego de ingresar la palabra: novias vietnam

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, inavyoonekana, hukumu hii si mwisho wa mambo kwa morsi, kwa sababu shauri hilo linaendelea.

西班牙语

este no es el fin de morsi ya que el juicio continua.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na nayasema haya kwa sababu inavyoonekana kuigawa dunia kwa maneno kama "sisi" na "wao" hayatusaidii.

西班牙语

y digo esto porque parece que dividir el mundo entre “nosotros” y “ellos” no sirve.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

siku ya mwisho ya kurudisha fomu kwa ajili ya kugombea urais katika uchaguzi ujao ilikuwa tarehe 28 aprili, na inavyoonekana ni wagombea wachache sana wasiotarajiwa wamejitokea kuwania kiti hicho.

西班牙语

la fecha para presentar candidaturas a las elecciones presidenciales malgaches terminaba el 28 de abril de 2013, y surgieron candidatos sorprendentes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

televisheni ya taifa ya jordan ilitaarifu kuwa, al-kaseasbeh inadhaniwa kuwa aliuawa tarehe 3 januari, lakini kwa namna video hii inavyoonekana, imewashitua wengi ambao hawakutaka propaganda za isis kurejesha kumbukumbu yake.

西班牙语

la televisión estatal jordana informó que a al-kaseasbeh supuestamente lo mataron el 3 de enero, pero la naturaleza del video impactó a muchos, que se negaron a dejar que la propaganda del isis ensombreciera su memoria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati kundi la wenyeji wa kaskazini mwa uganda, ambao waliathiriwa zaidi na uhalifu wake kony, walionyeshwa video ya invisible children katika onyesho la hadhara, hawakupendezwa na waliyoona katika video hilo, kama inavyoonekana katika video ya al jazeera english ifuatayo.

西班牙语

cuando se mostró un grupo de ugandeses del norte, las principales víctimas de los crímenes de kony, el video de invisible children en una proyección pública, no estuvieron particularmente satisfechos con el contenido del video como se ve en este video de al jazeera en inglés.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya wanablogu walieza kughafirika kwao na ukweli kuwa ni watu wachache mno kutoka kwenye treni walitumia vyombo vya habari vya kijamii kutoa taarifa za kile kilichokuwa kinatokea., na, inavyoonekana, kuna fafanuzi kadhaa zinazoelea ni kwa nini uanahabari wa kijamii haukuchukua nafasi kubwa katika upashaji wa habari za ajali ya “nevsky express”.

西班牙语

algunos blogueros manifestaron su fustración (rus) por el hecho que tan pocas personas en el tren usaron las redes sociales para informar sobre lo sucedido. aparentemente hay varias explicaciones del porqué las redes sociales no jugaron un rol mas importante en la cobertura de la tragedia del “nevsky express”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,793,337,596 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認