您搜索了: kukaa (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

kukaa

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

sio kukaa tu huko na kuzungumza!

阿拉伯语

لا تجلسوا فقط وتتحدثوا !

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.

阿拉伯语

لتتعلّم المرأة بسكوت في كل خضوع.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!

阿拉伯语

قائلين انك دخلت الى رجال ذوي غلفة واكلت معهم‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya.

阿拉伯语

ولكن لست آذن للمرأة ان تعلّم ولا تتسلط على الرجل بل تكون في سكوت.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulipofika roma, paulo aliruhusiwa kukaa peke yake pamoja na askari mmoja wa kumlinda.

阿拉伯语

ولما أتينا الى رومية سلم قائد المئة الاسرى الى رئيس المعسكر. واما بولس فأذن له ان يقيم وحده مع العسكري الذي كان يحرسه

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kukaa pale kwa muda, tulifunga mizigo yetu, tukaendelea na safari kwenda yerusalemu.

阿拉伯语

‎وبعد تلك الايام تأهبنا وصعدنا الى اورشليم‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tuko imara daima. tunajua kwamba kuishi katika mwili huu tu ni kukaa mbali na bwana.

阿拉伯语

فاذا نحن واثقون كل حين وعالمون اننا ونحن مستوطنون في الجسد فنحن متغربون عن الرب.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alipopata habari kwamba lazaro ni mgonjwa, yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

阿拉伯语

فلما سمع انه مريض مكث حينئذ في الموضع الذي كان فيه يومين.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waliposikia akiongea nao kwa kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. naye paulo akaendelea kusema,

阿拉伯语

‎فلما سمعوا انه ينادي لهم باللغة العبرانية اعطوا سكوتا احرى‎. ‎فقال

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika amri za baba yangu na kukaa katika pendo lake.

阿拉伯语

ان حفظتم وصاياي تثبتون في محبتي كما اني انا قد حفظت وصايا ابي واثبت في محبته.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kukaa huko kwa muda fulani, ndugu wa antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale waliokuwa wamewatuma.

阿拉伯语

‎ثم بعدما صرفا زمانا أطلقا بسلام من الاخوة الى الرسل‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

iliichukua serikali siku nne kujadili jambo hili; hatimaye ilituma ujumbe kuashiria kusitishwa kwa maandamano ya siku nne ya kukaa mahali pamoja.

阿拉伯语

استغرق الأمر للحكومة أربعة أيام لتسوية هذه المسألة، وأخيرا، هذا يشير إلى نهاية سلمية لاعتصامات التي استمرت لمدة الأربعة أيام طويلة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, "amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi."

阿拉伯语

فلما رأى الجميع ذلك تذمروا قائلين انه دخل ليبيت عند رجل خاطئ.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

wakati wa mchana, siku hizo, yesu alikuwa akifundisha watu hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika mlima wa mizeituni na kukaa huko.

阿拉伯语

وكان في النهار يعلّم في الهيكل وفي الليل يخرج ويبيت في الجبل الذي يدعى جبل الزيتون.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufuatia mashambulizi hayo, watu wa jamii ya hazara wa kutoka quetta walikutana katika barabara ya alamdar na kisha kuanzisha maandamano ya amani ya kukaa mahali pamoja na kuishinikiza serikali kusikiliza madai yao.

阿拉伯语

بعد الهجمات، تجمع أعضاء مجتمع كويتا الهزارة على طريق علمدار وبدأ الاعتصام بصورة سلمية.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hivyo, abrahamu alihama nchi ya kaldayo, akaenda kukaa harani. baada ya kifo cha baba yake, mungu alimtoa tena harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa.

阿拉伯语

‎فخرج حينئذ من ارض الكلدانيين وسكن في حاران. ومن هناك نقله بعد ما مات ابوه الى هذه الارض التي انتم الآن ساكنون فيها‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

naye stefano akasema, "ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! mungu alimtokea baba yetu abrahamu alipokuwa kule mesopotamia kabla hajaenda kukaa kule harani.

阿拉伯语

‎فقال ايها الرجال الاخوة والآباء اسمعوا. ظهر اله المجد لابينا ابراهيم وهو في ما بين النهرين قبلما سكن في حاران

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

tukiwa tunaelekea kwenye bandari ya veracruz, tulisimama mjini yanga ambapo tuliona mashamba ya kilimo yaliyosheheni caña pamoja na mahindi kila mahali, pia yalionekana mashamba makubwa ya kahawa; hali ya hewa ya kitropiki inakufanya uendelee kukaa nje ili kuliota jua.

阿拉伯语

في طريقنا لميناء فيراكروز، توقفنا في مدينة يانغا ورأينا الحقول الزراعية المليئة بنباتات قصب السكر والذّرة التي تحيط بالمنطقة، والتي تنتشر فيها أيضًا مزارع القهوة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"@balrasheed: kwa sababu ilikuwa ni mara ya kwanza mimi kusikia sheria hii na 'heya'(neno la mtaani wanalooitwa cpvpv) mambo holela wakati mwingine, nilikwenda katika gari lao na kuuliza: kuna sheria inayopiga marufuku kukaa katika maeneo ya umma wakati sala?"

阿拉伯语

@balrasheed: لأني أول مرة أسمع بهذا النظام ولعلمي بأن الهيئة ومعظم الأجهزة الأمنية أحياناً يتصرفون حسب مزاجهم ويختلقون لك قوانين غير موجودة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,765,714,418 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認