来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
hamwezi kunywa kikombe cha bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya bwana na katika meza ya pepo.
لا تقدرون ان تشربوا كاس الرب وكاس شياطين. لا تقدرون ان تشتركوا في مائدة الرب وفي مائدة شياطين.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
hekaluni aliwakuta watu wakiuza ng'ombe, kondoo na njiwa, na wavunja fedha walikuwa wamekaa kwenye meza zao.
ووجد في الهيكل الذين كانوا يبيعون بقرا وغنما وحماما والصيارف جلوسا.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lazaro alitamani kula makombo yaliyoanguka kutoka meza ya tajiri; na zaidi ya hayo, mbwa walikuwa wanakuja na kulamba vidonda vyake!
ويشتهي ان يشبع من الفتات الساقط من مائدة الغني. بل كانت الكلاب تأتي وتلحس قروحه.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
basi, wakafika yerusalemu. yesu akaingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu humo ndani. akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilishana fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.
وجاءوا الى اورشليم. ولما دخل يسوع الهيكل ابتدأ يخرج الذين كانوا يبيعون ويشترون في الهيكل وقلب موائد الصيارفة وكراسي باعة الحمام.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量: