来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya kikristo.
وانتم ايها الآباء لا تغيظوا اولادكم بل ربوهم بتأديب الرب وانذاره.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini tunapohukumiwa na bwana, tunafunzwa tuwe na nidhamu, ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu.
ولكن اذ قد حكم علينا نؤدب من الرب لكي لا ندان مع العالم.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
mwisho wa vitu vyote umekaribia. kwa hiyo mnapaswa kuwa na utaratibu na nidhamu, ili mweze kusali.
وانما نهاية كل شيء قد اقتربت. فتعقلوا واصحوا للصلوات.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kwa jina la bwana wetu yesu kristo tunawaamuru na kuwaonya watu hao wawe na nidhamu na kufanya kazi ili wajipatie maslahi yao wenyewe.
فمثل هؤلاء نوصيهم ونعظهم بربنا يسوع المسيح ان يشتغلوا بهدوء ويأكلوا خبز انفسهم.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
anapaswa kuwa mkarimu na anayependa mambo mema. anapaswa kuwa mtu mtaratibu, mwadilifu, mtakatifu na mwenye nidhamu.
بل مضيفا للغرباء محبا للخير متعقلا بارا ورعا ضابطا لنفسه
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
بل اقمع جسدي واستعبده حتى بعد ما كرزت للآخرين لا اصير انا نفسي مرفوضا
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kuadhibiwa si jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. lakini wale waliofunzwa kuwa na nidhamu mwishowe watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!
ولكن كل تأديب في الحاضر لا يرى انه للفرح بل للحزن. واما اخيرا فيعطي الذين يتدربون به ثمر بر للسلام.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
wanariadha hujipa mazoezi na nidhamu kali; hufanya hivyo ili wajipatie taji iharibikayo! lakini sisi twafanya hivyo tupate taji ya kudumu daima.
وكل من يجاهد يضبط نفسه في كل شيء. اما اولئك فلكي يأخذوا اكليلا يفنى واما نحن فاكليلا لا يفنى.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kikosi kazi cha fifa dhidi ya ubaguzi wa rangi kilifika mahali pa kutokukubaliana na maamuzi ya kamati ya nidhamu kuachana na adhabu dhidi ya mashirikisho ya mataifa kadhaa kwa maneno ya kushangilia yaliyokuwa na sura ya ubaguzi wa rangi na kimapenzi yaliyotolewa na mashabiki ambayo hayakuwa yakilengwa kwa wachezaji fulani fulani, bali kwa timu nzima.
عمل الفيفا ضد العنصرية يختلف مع قرار اللجنة التأديبية برفض معاقبة الاتحادات الوطنية لهتافات عنصرية وضد المثليين من قبل المشجعين، لأن المشجعين لم يستهدفوا لاعب واحد على وجه الخصوص، ولكن فرق بأكملها.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;
فيجب ان يكون الاسقف بلا لوم بعل امرأة واحدة صاحيا عاقلا محتشما مضيفا للغرباء صالحا للتعليم
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量: