您搜索了: usingizi (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

usingizi

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.

阿拉伯语

فلا ننم اذا كالباقين بل لنسهر ونصح.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.

阿拉伯语

ثم جاء فوجدهم ايضا نياما. اذ كانت اعينهم ثقيلة.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wazazi wapya duniani kote hukabiliana na tatizo linalofanana: kuwafanya watoto wao wapate usingizi.

阿拉伯语

كل الروابط باللغة الإنجليزية.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha lazaro.

阿拉伯语

وكان يسوع يقول عن موته. وهم ظنوا انه يقول عن رقاد النوم.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. hawakujua la kumjibu.

阿拉伯语

ثم رجع ووجدهم ايضا نياما اذ كانت اعينهم ثقيلة فلم يعلموا بماذا يجيبونه.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliona njaa, akatamani kupata chakula. chakula kilipokuwa kinatayarishwa, alipatwa na usingizi mzito akaona maono.

阿拉伯语

‎فجاع كثيرا واشتهى ان يأكل. وبينما هم يهيئون له وقعت عليه غيبة‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

petro na wenzake walikuwa wamelemewa na usingizi mzito, hata hivyo waliamka, wakauona utukufu wake, wakawaona na wale watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.

阿拉伯语

واما بطرس واللذان معه فكانوا قد تثقلوا بالنوم. فلما استيقظوا رأوا مجده والرجلين الواقفين معه.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

阿拉伯语

في تعب وكد. في اسهار مرارا كثيرة. في جوع وعطش. في اصوام مرارا كثيرة. في برد وعري.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

walipokuwa wanasafiri kwa mashua, yesu alishikwa na usingizi, akalala. dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari.

阿拉伯语

وفيما هم سائرون نام. فنزل نوء ريح في البحيرة. وكانوا يمتلئون ماء وصاروا في خطر.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kijana mmoja aitwaye eutuko alikuwa ameketi dirishani wakati paulo alipokuwa anaendelea kuhutubu. eutuko alianza kusinzia kidogokidogo na hatimaye usingizi ukambana, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu. wakamwokota amekwisha kufa.

阿拉伯语

‎وكان شاب اسمه افتيخوس جالسا في الطاقة متثقلا بنوم عميق. واذ كان بولس يخاطب خطابا طويلا غلب عليه النوم فسقط من الطبقة الثالثة الى اسفل وحمل ميتا‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nyimbo za aina hii huimbwa katika hali za aina zote, si tu wakati mtoto anatafuta usingizi. kwa mfano, akina mama wakati mwingine wanaimba wakiwa wakifanya kazi, ili kuwafanya watoto wao watulie na kuwapa nafasi ya kufanya kazi.

阿拉伯语

تعتقد كاثي أن أقدم تهليلة تنتمي لعصر ما قبل الميلاد حيث عثر الباحثون على نماذج لتهويدات في أقدم الأعمال الأدبية في التاريخ.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,774,162,686 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認