您搜索了: walikusanyika watu na wakampiga mwizi (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

walikusanyika watu na wakampiga mwizi

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

baada ya wajerumani kuungana tena, watu na jamii zilizianza kupanga maisha ya mbeleni.

阿拉伯语

بعد لم شمل الشعب الألماني، بدأ الأفراد والمجتمعات المحلية التخطيط لمستقبلها.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.

阿拉伯语

ولما دخل من عند الجمع الى البيت سأله تلاميذه عن المثل.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata kutoka miongoni mwenu watatokea watu ambao watasema mambo ya uongo ili kuwapotosha watu na kuwafanya wawafuate wao tu.

阿拉伯语

‎ومنكم انتم سيقوم رجال يتكلمون بامور ملتوية ليجتذبوا التلاميذ وراءهم‎.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwenye blogu ya refugees united kuna masimulizi yasiyohesabika kuhusu miradi ya kuwafikia watu na namna watu waliopoteana walifanikiwa kukutana kwa mara nyingine.

阿拉伯语

على مدونة المنظمة، هناك الكثير من القصص عن لم الشمل وإعادة الوصال بين العائلات.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alitaka kuona yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.

阿拉伯语

وطلب ان يرى يسوع من هو ولم يقدر من الجمع لانه كان قصير القامة.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

miongoni mwa mambo ya muhimu niliyojifunza ni kuwa, viti vilivyoko migongoni mwa tembo vinavyotumika kubebea watu na mizigo kwa hakika si sahihi kabisa kwa wanyama hao.

阿拉伯语

من الأشياء المهمة التي تعلمتها، أن الكراسي المستعملة لنقل الأشخاص والأمتعة على ظهر الفيلة (هودج) غير مرحب بها.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kulikuwa na taarifa nyingi za vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu barabara mbaya, malazi yasiyoridhisha, watu na hata viwanja ambavyo vilianguka au hata havikukaika kabla mashindano hayajaanza.

阿拉伯语

كان هناك العديد من التقارير من قبل الصحافة الدولية حول الطرق السيئة، وأماكن الإقامة، والناس وحتى الملاعب، التي إنهارت أو لم تكن مكتملة قبل البطولة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@temite: chochote kitakachotokea, kitakachoathirika hakikosi kuwa ni umoja, umoja wa kidugu baina ya watu na utamaduni #mali

阿拉伯语

@temite: مهما حدث، فان الخاسر سيكون هو الوحدة والروابط الأخوية بين الشعوب والثقافات #mali

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wajane kama hao huanza kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya zaidi ni kwamba huanza kuwasengenya watu, na kujitia katika mambo ya watu wengine, huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.

阿拉伯语

ومع ذلك ايضا يتعلمن ان يكنّ بطالات يطفن في البيوت ولسن بطالات فقط بل مهذارات ايضا وفضوليات يتكلمن بما لا يجب.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"sauti ya kiafrika ya matumaini na mabadiliko," kinakupa mtazamano wa kipekee kuhusu watu na habari za eneo hilo la afrika kupitia posti zetu zilizo bora zilizoandikwa kwa lugha ya kiingereza kwa mwaka 2012.

阿拉伯语

"أصوات الأمل والتغيير الأفريقية“ هذا الكتاب يعطيك نظرة عن كـَثـَب لسكان إقليم جنوب صحراء أفريقيا وقصصهم من خلال مقالاتنا التي كُتبت باللغة الإنجليزية في العام ٢٠١٢.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

sauti ya kiafrika ya matumaini na mabadiliko ni ushahidi zaidi wanguvu ya kufanya kazi pamoja', jitihada za pamoja zinazojielekeza kwa watu na mahali ambapo mara nyingi "husahauliwa" na vyombo vikuu vya habari duniani kote, ingawa ni kweli afrika ni kubwa lakini bado kuna matumaini ya maendeleo katika miaka ijayo.

阿拉伯语

يُعد كتاب أصوات الأمل والتغيير الأفريقية دليلاً أكبر على أن قوتنا في وحدتنا، حيث يبرز تضافر الجهود الجماعية للتركيز على الأماكن والأشخاص الذين عادة ما تغفل عنهم وسائل الإعلام الرئيسية حول العالم بالرغم من التنوع الذي تزخر به أفريقيا والازدهار المبشر الذي ستشهده خلال السنوات القادمة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,781,151,353 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認