来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.
وتبعته جموع كثيرة فشفاهم هناك
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
kwa maana kundi kubwa la watu walimfuata wakipiga kelele, "muulie mbali!"
لان جمهور الشعب كانوا يتبعونه صارخين خذه
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.
وتبعه جمهور كثير من الشعب والنساء اللواتي كنّ يلطمن ايضا وينحن عليه.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini wale watu walipojua alikokwenda, walimfuata. yesu akawakaribisha akawazungumzia juu ya ufalme wa mungu, akawaponya wale waliohitaji kuponywa.
فالجموع اذ علموا تبعوه. فقبلهم وكلمهم عن ملكوت الله. والمحتاجون الى الشفاء شفاهم.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
makundi mengi ya watu kutoka galilaya, dekapoli, yerusalemu, yudea na ng'ambo ya mto yordani, walimfuata.
فتبعته جموع كثيرة من الجليل والعشر المدن واورشليم واليهودية ومن عبر الاردن
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
basi, wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza.
ثم ان اليهود الذين كانوا معها في البيت يعزونها لما رأوا مريم قامت عاجلا وخرجت تبعوها قائلين انها تذهب الى القبر لتبكي هناك.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
simoni petro pamoja na mwanafunzi mwingine walimfuata yesu. huyo mwanafunzi mwingine alikuwa anajulikana kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia pamoja na yesu ndani ya ukumbi wa kuhani mkuu.
وكان سمعان بطرس والتلميذ الآخر يتبعان يسوع. وكان ذلك التلميذ معروفا عند رئيس الكهنة فدخل مع يسوع الى دار رئيس الكهنة.
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量: