来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
nous sommes heureux de consacrer une journée à réfléchir à un sujet qui semble n'avoir jamais perdu de sa pertinence.
tunatarajia kuwa na siku moja kwa ajili ya kutafakari na kuzungumza kuhusiana na mada hiyo ambayo daima imekuwa na umuhimu wake.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
"nous réaffirmons la grandeur de notre nation en sachant que la grandeur n’est jamais donnée mais se mérite".
"katika kutilia mkazo ukuu wa taifa letu, tunaelewa kwamba ukuu si haki yetu ya kupewa hivi hivi tu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
et soyez reconnaissants pour les bienfaits d'allah, si c'est lui que vous adorez.
na shukuruni neema za mwenyezi mungu, ikiwa kweli mnamuabudu yeye.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
le nigeria n'est pas un pays réputé pour l'esprit d'ouverture de ses dirigeants. les politiciens de haut niveau engagent très rarement le dialogue avec leurs électeurs, et les nigerians se plaignent souvent du fait que la voix du peuple n'est jamais entendue.
nigeria si nchi inayofahamika kuwa na viongozi wanaowasiliana na umma.wanasiasa wa ngazi za juu hujishughulisha kwa nadra sana kuwasiliana na wapiga kura wao, na mara nyingi kuna malalamiko kwamba sauti za watu huwa hazipewi nafasi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
l'explosion de la bulle économique des années 1990 a mis en lumière les faiblesses du système japonais et de nombreux experts déclarent que, depuis, le pays ne s'est jamais complètement remis de la récession.
wakati futuzo la uchumi lilipopasuka mwanzoni mwa miaka ya 90 udhaifu uliopo kwenye mfumo wa kijapani ulionekana na tangu hapo wataalamu wengi wanasema kuwa nchi haijapona kutoka kwenye hali mbaya ya uchumi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
et quant aux bienheureux, ils seront au paradis, pour y demeurer éternellement tant que dureront les cieux et la terre - à moins que ton seigneur n'en décide autrement - c'est là un don qui n'est jamais interrompu.
na ama wale walio bahatika, wao watakuwamo peponi wakidumu humo muda wa kudumu mbingu na ardhi, isipo kuwa apendavyo mola wako mlezi. hicho ni kipawa kisio na ukomo.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
nieront-ils les bienfaits d'allah?
basi je, wanazikataa neema za mwenyezi mungu?
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
et si vous comptez les bienfaits d'allah, vous ne saurez pas les dénombrer.
na mkizihisabu neema za mwenyezi mungu, hamwezi kuzidhibiti.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
eh bien, rappelez-vous les bienfaits d'allah afin que vous réussissiez.
basi zikumbukeni neema za mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
et dis: «louange à allah qui ne s'est jamais attribué d'enfant, qui n'a point d'associé en la royauté et qui n'a jamais eu de protecteur de l'humiliation».
na sema: alhamdulillah, himdi zote ni za mwenyezi mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
croiront-ils donc au faux et nieront-ils les bienfaits d'allah?
je! wanaamini upotovu, na neema za mwenyezi mungu wanazikataa?
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
et si nous envoyons un vent et qu'ils voient jaunir [leur végétation], ils demeurent après cela ingrats (oubliant les bienfaits antérieurs).
na tunge utuma upepo na wakauona umekuwa rangi ya manjano, juu ya hayo wange endelea kukufuru.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。