来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
thus the association will among other things, come up with a more realistic and relevant ad platform that will involve local advertisers.
kwa hiyo, taasisi itabuni, miongoni mwa mambo mengine, jukwaa linalozingatia hali halisi na lililo mwafaka litakalojishughulisha na watangazani kutoka nchini kenya.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
and newspapers and news channels have to sell advertising space and airtime to make money, and the more shocking and scary their stories, the more viewers and readers they have, which leads to more advertisers, and more profits.
na magazeti na idhaa za habari ni lazima viuze nafasi za matangazo na muda wa kurusha matangazo hewani ili kutengeneza fedha, na kwa kadiri habari inavyokuwa inatishia na kuogopesha ndivyo wanavyopata watazamaji na wasomaji wengi zaidi, ambavyo huongeza watangaza biashara, na faida zaidi.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: