您搜索了: agenda (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

agenda

斯瓦希里语

wanachama waliohudhuria

最后更新: 2021-04-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

you can find the meetup's full agenda here.

斯瓦希里语

unaweza kuona agenda kamili za mkutano huo hapa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this is the only agenda which will bring prosperity.

斯瓦希里语

hii ni ajenda pekee ambayo italeta fanaka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

protesters in quetta had a single-point agenda:

斯瓦希里语

waandamanaji katika jiji la quetta walikuwa na agenda moja tu:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

media reform was particularly high on the agenda, with lula affirming,

斯瓦希里语

suala la marekebisho ya vyombo vya habari lilikuwa juu kwenye ajenda,na lula alithibitisha,

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

arab world: romney's middle east agenda rapped · global voices

斯瓦希里语

uarabuni: sera ya romney kwa mashariki ya kati yaibua mjadala

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

infact that was yo main agenda… to advance the cause of the homosexual and lesbians.

斯瓦希里语

na kwa hakika hiyo ndiyo ilikuwa agenda yako kuu…kuharakisha na kukuza mwanzo wa mashoga na wasagaji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

let them put them on the agenda and convince the anc that we should not sing those songs and tell us why.

斯瓦希里语

hebu waliweke (suala hili) kwenye ajenda na wawashawishi anc kwamba tusiziimbe nyimbo hizo na watueleze kwa nini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the malagasy children have waited 50 years for their collective health to be at the top of the national agenda.

斯瓦希里语

watoto wa malagasi wamesubiri kwa miaka 50 ili kupata mustakabali wa afya yao katika vipau mbele muhimu vya taifa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

spreading the word about the fan club and our hero’s agenda for rwanda especially during the upcoming presidential campaign.

斯瓦希里语

unaweza kueneza habari juu ya klabu hii ya marafiki na agenda za shujaa wetu huyu wa rwanda hasa kuhusiana na kampeni za urais zinazokuja mbele yetu hivi karibuni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

any figures on the losses from the scheme have all been manipulated with bias towards me and with a hidden agenda used to eliminate a political opponent.

斯瓦希里语

takwimu zozote kuyapa uzito madai ya mpango huo kulisababishia hasara taifa zimepikwa ili kufanya nionekane nina hatia na zina ajenda ya siri ya kuondoa upinzani wa kisiasa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the project started in april 2010, spearheaded by map kibera and kibera community development agenda (kcoda).

斯瓦希里语

mradi huo ulianza mwezi aprili 2010, ukiongozwa na map kibera pamoja na kibera community development agenda (kcoda).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

...we are likewise cynical of those whose agenda includes misleading our people to believe that government is not sensitive enough to alleviate the suffering of the survivors.

斯瓦希里语

...vivyo hivyo kudanganywa na wale ambao agenda yao ni pamoja na kupotosha watu wetu kuamini kwamba serikali haikuwa makini vya kutosha kupunguza mateso ya waathirika.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a blog post by kachwanya, one of kenya’s most prolific bloggers, laid out the full agenda as well as the aim and objectives of the association.

斯瓦希里语

makala ya kwenye blogu iliyoandikwa na kachwanya, ambaye ni mmoja wa wanablogu wanaoblogu sana nchini kenya, alianika ajenda nzima na vilevile shabaha na malengo ya umoja huo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

complaints from tv viewers across europe have been vociferous enough for the future of the plastic pest to become the major item on the agenda at the series of press conferences fifa president sepp blatter has held during the tournament in south africa.

斯瓦希里语

malalamiko kutoka kwa watazamaji wa televisheni ulaya nzima yamekuwa makali sana kiasi cha kumfanya mdudu huyu wa plastiki kuwa moja ya ajenda kuu katika mikutano ya waandishi wa habari na rais wa fifa sepp blatter ambayo aliifanya wakati wa michuano huko afrika kusini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

but the question remains whether leaders will use platforms like twitter and facebook interact with their constituents – or merely as one more way to disseminate an already-fixed agenda.

斯瓦希里语

labda hapa swali kubwa ni kama viongozi wataendelea kutumia majukwaa kama twitter na facebook kuwasiliana na wapiga kura wao – au kama njia moja zaidi ya kueneza agenda ambayo tayari wamekuwa nayo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

he adds that there are more serious acts committed by other politicians that should receive more ire from the paraguayan citizens, and that the press should return to focusing on the "national agenda."

斯瓦希里语

anaongeza kwamba kuna vitendo nyeti ambavyo vinatendwa na wanasiasa wengine ambavyo vinapaswa kusakamwa na wananchi wa paraguai, na kwamba vyombo vya habari virejee na kumakinikia yaliyomo kwenye "ajenda ya taifa"

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

hopefully the legitimate issue of canvassing security concerns in banks or other vulnerable areas that could be terror or robbery targets won’t be confused with the agenda of those who wish to vilify one of the world’s great religions.

斯瓦希里语

natumaini suala halali la kupigia kampeni hofu za kiusalama kwenye benki au katika maeneo mengine nyeti ambayo yanaweza kuwa malengo ya ugaidi au unyanganyi hayatapotoshwa na ajenda ya wale ambao wana hamu ya kutia dosari moja ya dini kubwa duniani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

as moscow appears to be expanding its military presence in syria, many around the world have been busy debating russia’s agenda in that country, asking if the kremlin’s support for president bashar al-assad is compatible with the west’s campaign against isis, which includes efforts to remove assad from power.

斯瓦希里语

kadiri moscow inavyojaribu kuimarisha ushiriki wake kwenye vita vya nchini syria, jamii kubwa ya kimataifa imekuwa ikifuatilia na kujadili kwa ukaribu kuhusiana na azma ya urusi nchini syria, wakihoji ikiwa msaada wa kremlin kwa rais bashar al-assad ni msaada muafaka kwa kampeni ya magharibi ya kulitokomeza kundi la isis, ambayo pia inahusisha na harakati za kumuondoa madarakani assad.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,783,774,422 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認