您搜索了: awarded (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

awarded

斯瓦希里语

tunukiwa

最后更新: 2017-04-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

that we awarded them for their rebellion.

斯瓦希里语

tuliwalipa hivyo kwa sababu ya uasi wao.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this we awarded them because of their ingratitude.

斯瓦希里语

hayo tuliwalipa kwa sababu ya walivyo kufuru.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

and hath awarded them for all that they endured, a garden and silk attire;

斯瓦希里语

na atawajazi bustani za peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

a cash prize of $10,000 will be awarded in each of three areas:

斯瓦希里语

zawadi ya dola 10,000 taslimu itatolewa katika kila moja ya maeneo haya:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

those will be awarded the chamber for their patience, and will be greeted therein with greetings and peace.

斯瓦希里语

hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

they will be awarded the high place forasmuch as they were steadfast, and they will meet therein with welcome and the ward of peace,

斯瓦希里语

hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

this day ye are awarded doom of degradation for that ye spake concerning allah other than the truth, and used to scorn his portents.

斯瓦希里语

leo mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyasema juu ya mwenyezi mungu yasiyo ya haki, na mlivyo kuwa mkizifanyia kiburi ishara zake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the personal website of sony ak was established in 2003 and it was awarded the best website in educational category for 2003, 2004 and 2006 by pc magazine indonesia.

斯瓦希里语

tovuti hiyo binafsi ya sony ak ilianzishwa mwaka 2003 na imekwisha zawadiwa kama tovuti bora zaidi ya kuelimisha kwa mwaka 2003, 2004 na 2006 na gazeti la pc la indonesia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

he also won the national short story prize josé revueltas, awarded by those institutions, twice (2003 and 2008).

斯瓦希里语

pia, aliwahi kushinda tuzo ya taifa ya hadithi fupi, aliyotunukiwa mara mbili na asasi hizo (2003 and 2008).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.

斯瓦希里语

mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

now that you have denied (his revelation), you will soon be awarded such a punishment which you will never be able to avoid."

斯瓦希里语

lakini nyinyi mmemkadhibisha. basi adhabu lazima iwe.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

英语

undergraduate education is education conducted after secondary education and prior to post-graduate education, for which the learner is typically awarded a bachelor's degree.

斯瓦希里语

elimu ya shahada ni elimu inayoendeshwa baada ya elimu ya shule ya upili na kabla ya elimu za uzamifu, ambapo wanafunzi wanafuzu kwa shahada ya kwanza.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

here are the 5 companies who were awarded the biggest contracts to provide goods and services to sierra leone’s ebola response as listed in the ebola funds audit report covering the period from may – october 2014.

斯瓦希里语

haya hapa makampuni matano yaliyokuwa yameingia mikataba mikubwa ya kusambaza vifaa na kutoa huduma katika kupambana na ugonjwa wa ebola nchini sierra leone kama yalivyoorodheshwa kwenye taarifa ya ukaguzi ya fedha za kupambana na ebola kwa kipindi cha kuanzia mei - oktoba 2014.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

the start of this year's french literary season saw french-senegalese novelist and playwright marie n'diaye awarded a much-awaited prix goncourt.

斯瓦希里语

mwanzo wa msimu wa fasihi ya kifaransa mwaka huu ulishuhudia mwandishi wa riwaya na michezo ya kuigiza mwenye asili ya kisenegali na kifaransa marie n’diaye akipewa tuzo iliyosuburiwa sana ya prix goncourt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

and for the jews we forbade all animals with claws; and forbade them the fat of oxen and sheep except which is on their backs or joined to their intestines or to the bone; we awarded this to them for their rebellion; and indeed, surely, we are truthful.

斯瓦希里语

na wale walio fuata dini ya kiyahudi tumewaharimishia kila mwenye kucha. na katika ng'ombe na kondoo na mbuzi tumewaharimishia shahamu yao, isipo kuwa ile iliyo beba migongo yao au matumbo yao, au iliyo gandamana na mifupa.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,780,315,023 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認