您搜索了: ben (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

ben

斯瓦希里语

ben

最后更新: 2011-04-18
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

英语

accept ben pol

斯瓦希里语

jikubali ben pol

最后更新: 2020-05-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

cnn's ben wedeman comments:

斯瓦希里语

mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la cnn, ben wedeman ana maoni yafuatayo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

analyst ben taylor is less optimistic.

斯瓦希里语

mchambuzi ben taylor hakuwa na imani na maelezo hayo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ben is impressed by the solemnity of voters:

斯瓦希里语

ben amevutiwa na taadhima ya wapiga kura:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

later on the same day, ben ali fled to jeddah, saudi arabia.

斯瓦希里语

baadae siku hiyo hiyo, ben ali alikimbilia jeddah, saudi arabia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ben gharbia comments on the decree's lack of proper implementation:

斯瓦希里语

ben gharbia anatoa maoni kuhusu kutokuwepo kwa utekelezaji stahili wa sheria hii:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

as predicted, president zine al abidine ben ali won the tunisian elections for a fifth term.

斯瓦希里语

kama ilivyotabiriwa, rais zine al abidine ben ali ameshinda uchaguzi kwa mara ya tano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

sami ben gharbia from tunisia told us that he is stepping down from the position of director of global voices advocacy.

斯瓦希里语

sami ben gharbia kutoka tunisia alitueleza kuwa anajiuzulu nafasi ya mkurugenzi wa utetezi wa sauti za dunia, ama global voices advocacy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ben ali's ruling party, the democratic constitutional rally, also fared as well.

斯瓦希里语

chama kinachotawala cha ben ali, democratic constitutional rally nacho pia kilifanya vizuri.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

gv advocacy enters 2013 with a new director, hisham almiraat, building on the strong foundation laid by sami ben gharbia.

斯瓦希里语

timu hii utetezi wa sauti za dunia linaingia mwaka 2013 likiwa na mkurugenzi mpya ambaye ni ndugu hisham almiraat, anayeendeleza msingi imara ulioanzishwa na sami ben gharbia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

sudan is the latest country to join the massive protest movement that saw the toppling of zine al abedine ben ali of tunisia in january 2011 and hosni mubarak of egypt the following month.

斯瓦希里语

sudani ni nchi iliyojiunga hivi karibuni kwenye vuguvugu kubwa la maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko yaliyosababisha kuanguka kwa watawala wa muda mrefu kama zine al abedine ben ali wa tunisia mapema mwezi januari 2011 na mwanzake hosni mubarak wa misri mwezi uliofuata.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

ben taylor shares a collection of articles on the sacking of zitto kabwe, a popular young member of parliament with the main tanzanian opposition party, chadema.

斯瓦希里语

ben taylor aweka mkusanyiko wa makala zinazohusiana na kuvuliwa madaraka kwa zitto kabwe,mbunge maarufu na kijana wa chama kikuu cha upinzani nchini tanzania, chadema.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

aidan eyakuze and ben taylor, both of whom work for the independent east african initiative twaweza, argued that the bill gives too much power to police without meaningful oversight:

斯瓦希里语

aidan eyakuze na ben taylor, wote wawili wakifanya kazi kwenye asasi huru inayofanya kazi zake afrika mashariki iitwayo twaweza, walikuwa na hoja kwamba muswada huo unatoa nguvu nyingi mno kwa polisi bila namna nzuri ya kuwadhibiti:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

英语

former dictators: ben ali of tunisia, suharto of indonesia, yakubu gowan of nigeria, nicolae ceaușescu of romania all engaged in social-engineering at the height of their dictatorships to try and conceal the true state of affairs but all in vain.

斯瓦希里语

madikteta wa zamani kama ben ali wa tunisia, suharto wa indonesia, yakubu gowan na nigeria, nicolae ceaușescu wa romania wote walishiriki kuchakachua mitazamo ya jamii ili kupalilia udikteta wao na kujaribu kuficha hali halisi ya mambo na hata hivyo hawakuweza.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,777,817,452 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認