来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
block
zuia
最后更新: 2014-08-15
使用频率: 3
质量:
i'll block you
nitaku fundisha
最后更新: 2020-09-29
使用频率: 1
质量:
参考:
don't feed the trolls block
usiporyply unakula block
最后更新: 2023-06-30
使用频率: 1
质量:
参考:
homs: 139-days siege of 14 block in the city.
homs: siku 139 za kuzingirwa kwa majengo 14 jijini homs.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
you can unsubscribe from or block this user by visiting their profile
unaweza kujiengua kutoka au kuzuia mtumiaji huyu kwa kutembelea maelezo yao mafupi
最后更新: 2020-01-31
使用频率: 1
质量:
参考:
it has become the safest ruse to block “harmful” websites.
imekuwa ni ujanja salama kuzuia tovuti “haribifu”.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
uganda: president says he will block anti-gay bill · global voices
uganda: rais kuzuia muswada unaopinga ushoga
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
bahrain: bloggers united against decision to block websites · global voices
bahrain: mabloga waungana kupinga uamuzi wa kufungwa kwa tovuti
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
the impeachment reflected the desire of the military to block yingluck's return to politics.
kura hiyo ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni picha ya sauti ya jeshi kutaka kumzuia yingluck kurejea kwenye siasa za nchi hiyo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
other services the saudi authorities are threatening to block include skype and mobile messaging service whatsapp.
huduma nyingine ambazo serikali ya saudi arabia inatishia kuzizuia ni pamoja na skype na hduma ya kutumiana ujumbe wa simu za mkono iitwayo whatsapp.
最后更新: 2023-08-29
使用频率: 1
质量:
参考:
laura vidal was a block away at a bar when the first attack took place at a restaurant on november 13 in paris.
laura vidal alikuwa baa mtaa wa pili na eneo ambalo mashambulizi yalitokea.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
from turkey, engin onder describes how turkish twitter users spread the word on how to circumvent the block:
kutoka uturuki, engin onder anaeleza namna watumiaji wa twita walivyosambaza ujumbe wa namna ya "kuuzunguka" ufungiaji huo:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
do you have any crypto wallet like trust wallet, bitcoin wallet, binance wallet, indodax wallet, block chain
una mkoba wowote wa crypto kama mkoba wa trust, mkoba wa bitcoin, mkoba wa binance, mkoba wa indodax, mnyororo wa block
最后更新: 2023-02-17
使用频率: 1
质量:
参考:
the following citizen video taken by kininfos on january 19 depicts a chaotic scene in the capital city as protesters try to block the streets:
video ifuatayo ya kijamii iliyopigwa na kininfos januari 19 inayoonesha sehemu ndogo ya ghasia kwenye mji huo mkuu wakati waandamanaji waijaribu kufunga mitaa:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
google sms service. send block to block messages from this person, send permission to stop blocking. send off to suspend sms service temporarily.
huduma ya google sms. tuma zuia ili kuzuia ujumbe kutoka kwa mtu huyu, tuma ruhusu kuacha kumzuia. tuma zima ili kusimamisha huduma ya sms kwa muda.
最后更新: 2021-05-23
使用频率: 1
质量:
参考:
iran's culture and islamic guidance minister, ali jannati, said "iran can not block facebook forever."
waziri wa utamaduni na ulinzi wa uislamu wa iran, ali jannati, alisema "iran haiwezi kuufungia mtandao wa facebook milele."
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
saudi arabia blocked the instant messaging application on june 5, 2013, after it threatened to block encrypted communication software, unless it was allowed to spy on users.
saudi arabia imezuia huduma ya kutuma ujumbe wa moja kwa moja tangu tarehe 5 juni, 2013, baada ya kutishia kuzuia zana za kimawasiliano, ikiwa isingeruhusiwa kuwapeleleza watumiaji wa huduma hiyo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
and since no one is listening, i would like to thank the authorities for blocking access to all those websites and would like to request it to block access to the entire internet as frankly, we have no use with it.
na kwa kuwa hakuna anayenisikiliza, ningependa kuwashukuru watawala kwa kuzizuia tovuti zote hizo na ningependa kuwaomba waufunge mtandao mzima wa intaneti, kwani hatuna manufaa nao.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
a young woman stages a lone protest against fifa in front of the maracana stadium after belgium played russia in their group stage match on june 22, 2014, despite a large security cordon designed to block such demonstrations against the 2014 world cup.
binti akiandamana kivyake kuipinga fifa mbele ya uwanja wa maracana baada ya ubelgiji kucheza na urusi katika makundi yao yaliyoandamana tarehe 22 juni, 2014, pamoja na kuandaliwa kwa vikosi vya usalama kuyazuia maandamano hayo kinyume cha mashindano ya kombe la dunia.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
bloggers in bahrain are fuming at a decision by the country's minister of information to block access to scores of websites, as well as prevent access to proxy sites which enable surfers to get to sites in a roundabout manner.
wanablogu wa bahrain wanaujia juu uamuzi wa waziri wa habari wa nchi hiyo wa kuzuia upatikanaji wa tovuti mbalimbali, kadhalika kuzuia matumizi ya tovuti vivuli zinazoruhusu watumiaji kuperuzi tovuti nyingine zilizozuiwa na zana za kuchuja habari.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考: