来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
rally for democracy and progress (rdp) is swapo's main challenger.
chama cha upinzani (rdp) ni mpinzani mkubwa wa chama cha swapo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
the last aspect deals with how the punditry overestimated the strength of the main challenger, john tembo, in his party's alliance with the united democratic front (udf).
suala la mwisho linazungumzia jinsi wataalamu wa mambo walivyokisia vibaya uwezo wa mpinzani mkuu, john tembo, haswa matokeo ya mseto alioingia na chama cha united democratic front (udf).
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
fabienne fatou diop writes that wade had no choice but to concede a loss to ex-prime minister and challenger macky sall in her post, "senegal, 25th of march 2012, honour to our people!" :
fabienne fatou diop anaandika kwamba wade hakuwa na uchaguzi mwingine isipokuwa kukubali kushindwa na waziri mkuu wa zamani na mshindani wake macky sall katika posti yake "senegali, tarehe 25 machi 2012, heshima kwa watu wetu!” :
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式