您搜索了: commonwealth (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

commonwealth

斯瓦希里语

jumuiya

最后更新: 2013-08-29
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

英语

indeed, the commonwealth of nations has outlived its usefulness.

斯瓦希里语

kwa hakika, jumuiya ya madola imepoteza umuhimu wake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

united kingdom government, - foreign and commonwealth office advice for travellers

斯瓦希里语

serikali ya uingereza, - ushauri kwa wasafiri kutoka ofisi ya mambo ya nje na jumuiya ya madola

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

meanwhile the safety of athletes and visitors at the 2010 commonwealth games in delhi in october is an ongoing issue that could erupt at any time.

斯瓦希里语

wakati huo huo usalama wa wanamichezo na wageni kwenye michezo ya jumuiya ya madola mwezi oktoba 2010 ni suala linaloendelea ambalo linaweza kulipuka wakati wowote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

although i don't subscribe to the summary executions and despotic policies of baba jammeh, i support his withdrawal from the commonwealth.

斯瓦希里语

ingawa siungi mkono vitendo vya mauaji na sera mbovu za baba jammeh, ninaunga mkono kujitoa kwake kutoka jumuiya ya madola.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

in 2003, zimbabwe under mugabe withdraw from the commonwealth for reasons best known to them but smallest country in the mainland african should take a different take and approached.

斯瓦希里语

mwaka 2003, zimbabwe chini ya mugabe ilijitoa kwneye jumuiya hiyo kwa sababu wanazozijua wao lakini nchi ndogo kuliko zote barani afrika ingechukua hatua kwa mwelekeo tofauti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

while the discussion on the jammeh’s latest diplomatic rumbling continues, it remains unclear what the poorly impoverished nation will gain by quitting the commonwealth.

斯瓦希里语

wakati majadiliano juu ya mahusiano duni ya jammeh kidiplomasia yakiendelea, bado si bayana kile ambacho nchi hiyo masikini sana itakifaidi kwa kujitoa kwenye jumuiya ya madola.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

gambia has and continued to benefit from commonwealth in diverse areas including education/scholarship, sports and most recently the commonwealth proposed national human rights commission.

斯瓦希里语

gambia imekuwa na inaendela kufaidika na jumuiya ya mdola katika maeneo mengi ikiwa ni pamoja na elimu/ufadhili, michezo na hivi karibuni jumuiya hiyo ilipendekeza kuundwa kwa tume ya taifa ya haki za binadamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

today, ever country in the world will carry this withdrawal news and every commonwealth member state, including the us, will have every lingering doubt about our claims, confirmed.

斯瓦希里语

leo, kila nchi duniani itajua habari hizi za kujitoa na kila nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, ikiwa ni pamoja na marekani, itathibitishiwa wasiwasi wowote kuhusiana na madai yetu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

that at that time ye were without christ, being aliens from the commonwealth of israel, and strangers from the covenants of promise, having no hope, and without god in the world:

斯瓦希里语

wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

the first president of uganda, dr. milton obote, was ousted in a manner similar to niyombare's attempt, while delivering a speech at a commonwealth meeting in singapore in 1971.

斯瓦希里语

rais wa kwanza wa uganda, dk. milton obote, aling'olewa kwa namna inayofanana na ile iliyotumiwa na niyombare, wakati akitoa hotuba kwenye mkutano wa commonwealth nchini singapore mwaka 1971.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

英语

a statement released on wednesday, 2 october 2013 stated that "the government has withdrawn its membership of the british commonwealth and decided that the gambia will never be a member of any neo-colonial institution and will never be a party to any institution that represents an extension of colonialism."

斯瓦希里语

tamko lililotolewa jumatano, oktoba 2, 2013 limesema kwamba "serikali imesitisha uanachama wake wa jumuiya ya madola na kuamua kwamba gambia kamwe haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo na kamwe haitakuwa sehemu ya taaisis yoyote inayotanua ukoloni."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,739,129,135 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認