您搜索了: counter (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

counter

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

counter number

斯瓦希里语

最后更新: 2023-10-06
使用频率: 1
质量:

英语

government's counter-information

斯瓦希里语

serikali yadhibiti habari

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

ubch get ready for the forceful counter-attack.

斯瓦希里语

ubch muwe tayari kwa kujibu mapigano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the primary function of ace2 is to act as a counter balance to ace.

斯瓦希里语

kazi kuu ya ace2 ni kufanya kazi kama kisawazishi cha ace.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

the argument was that haj had never been canceled on public health grounds and that to do so would be counter to islam.

斯瓦希里语

hoja ilikuwa kwamba hija haijawahi kufutwa kwa minajili tu ya kiafya na kwamba kufanya hivyo kungekuwa kuukiuka uislamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

taking over-the-counter cold medications, drinking fluids, and resting may help alleviate symptoms.

斯瓦希里语

kutumia dawa zinunuliwazo bila maagizo ya daktari, kunywa maji, na kupumzika huweza kusaidia kupunguza dalili.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

in its post-independence existence, africa has had its fair share of coups and counter-coups and civil wars.

斯瓦希里语

katika kipindi cha baada ya uhuru, afrika imekuwa na mchango wake wa kutosha kwenye mapinduzi na visasi vya kupindua waliopindua pamoja na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

protests and online reactions have been furious, condemning the attacks, calling for national unity online and organizing actions to counter future attacks.

斯瓦希里语

maandamano na miitikio ya mtandaoni imekuwa ya ghadhabu sana, ikiyalaani mashambulizi hayo, pamoja na kutoa wito wa mshikamano miongoni mwa raia wa mtandaoni na kupanga mikakati ya kuzuia mashambulizi ya baadaye.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

however, it has made non-emergency oral contraceptives, which were over the counter in the past, prescription-only drugs.

斯瓦希里语

hata hivyo, mabadiliko haya yamesababisha dawa zisizo za dharura za kupanga uzazi kuhitaji kwanza ushauri wa daktari kabla ya kutumiwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but the bbc sought out a few pr and branding experts who counter by saying, if the country wants to rebrand itself, it needs to give any pr team a lot more to build on.

斯瓦希里语

lakini bbc ilitafuta maafisa uhusiano na wataalamu wa chapa wachache ambao wanapinga kwa kusema, kama nchi inataka kujitengenezea chapa mpya, inapaswa kuipatia timu yoyote ya mahusiano nyenzo zaidi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

...if the proposal was conceptualized because of the expensive annulment case proceedings, i would rather propose a counter-bill to put a price cap on the cost of annulment.

斯瓦希里语

… kama pendekezo hili lilianza kufikiriwa kwa sababu ya gharama kubwa za kesi za kubatilisha ndoa, basi ningependekeza muswada wa kupinga ili kuweka kikomo cha gharama za kubatilisha.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

as a counter measure, many people started posting stories on twitter about "what they love about africa" with the hash tag #whatiloveaboutafrica.

斯瓦希里语

ili kukabiliana na hali hii, watu wengi wameanza kuandika hadithi na kadalika katika twitter kusema ni nini haswa wanapenda kuhusu afrika, wakitumia maneno #whatiloveaboutafrica.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

in order to counter the negative portrayal of africa in the video, african netizens are tweeting about “what they love about africa” with the hash tag #whatiloveaboutafrica.

斯瓦希里语

ili kupingana na picha hasi ya afrika kwenye video hiyo, raia watumiao mtandao wanatuma ujumbe kuhusu “kile wanachokipenda afrika” kwa alama ya ujumbe #whatiloveaboutafrica.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in the run-up to the kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.

斯瓦希里语

siku chache kabla ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a counter-proposal is in favour of a recombination between a pangolin sars-cov-2-related beta-cov and ratg13 in the third wild animal species.

斯瓦希里语

pendekezo kinzani linaunga mkono uunganishaji tena kati ya virusi vya beta-cov vinavyohusiana na sars-cov-2 vilivyopatikana kwa kakakuona na ratg13 katika aina ya tatu ya wanyama wa porini.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,787,381,143 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認